Mama mjane apata furaha tena baada ya upweke! Naitwa Ruth kutokea Songwe, mimi ni mama mjane ambaye niliangika kwa miaka tangu mume wangu afariki dunia kwa maradhi ya moyo, upweke ulinitesa sana maishani mwangu, siwezi kusahau hilo. Nilikuwa na wakati mgumu kwa maana fedha zake zote walichukuwa ndugu zake ambao hawakujali maisha yangu baada ya kifo chake licha ya kwamba nina watoto wawili na marehemu Mume wangu. Umaskini ulinijia na hata chakula cha watoto ikawa ni vigumu kukipata, nikaanza kuuza vitumbua sokoni ili kupata fedha za kijikimu na watoto wangu lakini kwa muda mfupi biashara hiyo ikaanguka nikarudi kuteseka.…
Author: Ngirisho1
Mke amwaga siri nyeti za mumewe hadharani! Naitwa Faridah kutokea Mombasa nchini Kenya, nimekuwa katika maisha ya ndoa kwa muda wa miaka 10 sasa, mimi na mume wangu tumejaliwa kupata watoto watatu wa kike. Naitwa Grace kutokea Tanga, kuna jambo ambalo limekuwa likisumbua ndoa yetu na mimi sitaki kulificha, leo nitaliweka wazi hapa, nalo ni kuwa mume wangu amekuwa akitoka nje ya ndoa yetu kwa madai kuwa anatafuta mtoto wa kiume. Hadi sasa tumelumbana mno, miezi kama tatu iliyopita aliponifukuza kwake akidai mimi sifai kuendelea kuwa mke wake kwani anataka kuoa mke mwingine ambaye ataweza kumpatia…
Hadi nilimshauri mume wangu aoe mke mwingine! Naitwa Mami kutokea Tarime, mimi mume wangu ananilalamikia sana kwamba nina kiburi na majibu ya hovyo, kiu kweli mimi ni kivuruge, yaani nina kiburi vibaya mno, na nina hasira za karibu vibaya mno, kidogo tu nakujibu hovyo. Kwa hiyo mume wangu anatia huruma sana, kiukweli hanaga furaha tukiwa pamoja hata niwe na mood nzuri halafu tupige stori, yaani hata akicheka kicheko kinatoka kimefubaa tu, uso wake na macho yanaonesha kabisa hana furaha. Nililiona hilo kwa mda mrefu, nikamuomba aoe ili afurahi na huyo mwanamke mwingine, kwa jinsi ninavyo mpenda…
Ex wa mume wangu kanieleza siri ya kutisha Naitwa Leah, mimi nina miaka 39 niliolewa nikiwa na miaka 25, sijawahi kubahatika kupata mimba hata ya bahati mbaya. Tumeishi hivyo na mume wangu hakuna ndugu wala mtu yeyote kutoka familia ya mume wangu aliwahi kutuuliza mbona hatuna mtoto. Mama yangu amekuwa mtu wa kuniuliza na kutafuta tiba kila siku, mimi na mume wangu tumepishana miaka 16. Mume wangu hana mtoto popote pale na hakuna ndugu yake anaeulizia. Sasa katika pita pita za kazi nikakutana na ex wife wa mume wangu. Kabla kwanza mume wangu alikuwa hajawahi kuniambia…
Jina langu ni Abigail, miaka kama miwili nyuma nalitaka kujitoa kwenye hii ndoa ambayo ilikuwa na miaka miwili na mtoto ila ukafikia wakati sikuona tena sababu ya kuendelea. Unajua kwa sababu gani?, mimi na mwenza wangu tulikuwa tunaishi mikoa tofauti kutokana na kazi kila mtu yupo mkoa wake. Kila kitu kilikuwa kipo sawa, mawasiliano tunawasiliana vizuri tu lakini shida inakuja kwenye kuhudumia mahitaji ya familia. Huyu mwenzangu alikuwa akishatuma tu kodi ya nyumba ndo kamaliza, tena na kodi yenyewe atatuma huku anajilalamisha kuwa hana hela. Hajui mnavaa nini, mnakula nini, sabuni sijui mafuta sijui mtoto anakula nin hajali…
Huyu kijana alitaka kunichanganya kimapenzi ila…..! Mimi ni mama wa watoto wawili nimeolewa yapata miaka 12 mpaka sasa nina umri wa miaka 34, kwenye maisha yangu ya ndoa nimekutana na matukio mengi mpaka ikafikia hatua nikaamua kutafuta faraja kwingine na hapa ndo tatizo lilipo. Sasa kuna kijana ana miaka 27 amekua akinisumbua kwa muda sana akiniambia kuwa ananipenda mwisho wa siku nikajitahidi sana kumchunguza nikamuona hana mambo mengi katika kuzoeana nikajikuta tu nampenda. Nikaamua kujitoa muhanga, nikaanza mahisiano naye tumekua ni watu wa furaha lakini furaha yetu imekua ya muda mfupi sana, hivi karibuni nilikuwa nimesafiri tukaelewana kuwa nikirudi…
Kwa hakika Single Mothers tunapitia mengi katika mahusiano! Jina langu ni Janeti kutoka Kigoma, nilikuwa na mchumba wangu, yeye ana miaka 45 mimi 35, nina watoto wa 3 na nilimwambia akakubali, yeye alisema alikuwa na mwanamke na walikuwa na mtoto mmoja yupo na mama yake hakumuoa rasmi. Alipopata ajira alienda kuolewa huko huko, mwanzo alisema anataka ndoa ya kanisani maana tupo dhehebu moja, lakini baada ya mwezi akaniambia tufunge ndoa ya bomani kwanza ya kanisani inachukua muda mrefu ili nipate uhamisho tuwe karibu kupunguza matumizi. Mimi nikakataa baadaye akasema kama nimekataa basi maana yeye hawezi kuishi…
MUME WANGU NI MWANAJESHI ILA TUNAISHI MAISHA MAGUMU SANA Mume wangu ni mwanajeshi na kwao ni familia ya watoto sita, yeye ndio wa kwanza, ana mdogo wake anayemfuatia ana biashara mwingine mishe zake hazieleweki yupo tu wa tatu kamfungulia biashara kamuekea kila kitu kwenye ilo duka yeye kaja kuendeleza tu. Anayemfuatia kamaliza kidato cha nne na sasa anamsomesha chuo na huyo mwingine ambaye ni wa mwisho alimsomesha shule za kulipia kwanzia chekechea mpaka kamaliza. Basi mume wangu akasema mambo yake hayaendi sababu ya kusomesha watoto wetu na wadogo zake, hivyo anataka huyu alioko chuo ndio wa mwisho kusomesha…
Roho iligoma kabisa lakini ndio ilikuwa pona yangu! Kina mama wenzangu msichoke kujihangaikia kwa sababu mambo yanayoendelea duniani ni changamoto sana, ebu fikiria umezaa na mtu halafu ghafla tu mawasiliano yakakata bila kujua sababu ni nini!. Ndivyo ilivyokuwa na kwangu, sasa siku moja nipo kazini kwangu nikamsimulia dada mmoja wa usafi wa kazini akaniambia siyo rahisi mtu mzae na mtoto halafu asitake kukusikia, lazima kuna jambo. Akaniambia twende kwa Kiwanga Doctors atakusaidia, basi tukapanga safari. Imefika asubuhi roho ikagoma, nikasema mimi siendi, yule dada akaniambia twende nikajikakamua tukaenda. Kufika huko akanifanyia matambiko (find lost lover spell) na kanipa…
Unavyoweza kupata mkopo wa hadi Sh1.2 bilioni Kwa miaka wafanyabiashara wengi wa ndani na wale kimataifa wamekuwa wakiangaika kusaka mikopo yenye masharti na riba nafuhu ili kukuza biashara na miradi yao ya kiuchumi. Mimi nilikuwa mmoja wao ambaye nilisumbuka sana kutafuta mkopo ambao utawezesha kukamilisha mradi wangu wa umeme jua ambao nililenga kuzalisha umeme mwingi kwa ajili ya kuuza kwa wakazi wa eneo langu. Kila taasisi ya kifedha ambayo nilipeleka wazo langu la kibiashara walikuwa wanasema inaonekana litachukua muda mrefu na isitoshe hakuna uhakika kama kweli litafanikiwa. Baada ya kuona hivyo, ndipo nikaenda kwa Kiwanga…