Author: Ngirisho1

Jinsi ukahaba ilivyonipa Kisonono! Jina langu ni Mom, kutokana na ugumu wa maisha nilijikuta nimeingia kwenye biashara ya ukahaba bila mimi mwenye kupenda, nilifanya kazi ile kishingo upande, ni vile tu sikuwa na jinsi ya kuweza kuendesha maisha. Nilikumbana na changamoto nyingi, moja wapo ambayo ni kubwa zaidi ni kukamatwa na Polisi na kufikishwa kituoni, kama ukiwa siku hiyo umepata fedha kidogo inabidi kuwagawia kidogo. Ila changamoto nyingine ni kwamba wateja wengi hawakutaka kutumia kinga (kondomu) au mwingine anaivaa kabisa halafu katikati ya safari anaipasua kwa makusudi. Hali hiyo lilikuwa likinikera kwani maradhi ni mengi, nilivumilia hilo kutokana sikuwa na…

Read More