Nilivyomrejesha mume tuliyeachana kwa talaka Jina langu Beatrace, wakati namtambulisha mchumba wangu kwa marafiki zangu na familia, wengi hawakukubaliana na mimi, walikuwa wananishangaa kwanini nataka kuolewa na mwanaume ambaye sio msomi atakuwa mzigo nyumbani. Sikusikiliza mtu yeyote kwa sababu nilimpenda nikaamua kuoana naye na tukaanza maisha vizuri tu. Nilimpatia mtaji akaanzisha biashara ya chakula na ndani ya muda mfupi hivi faida aliyokuwa anaitapa ikawa ni zaidi ya mshahara wangu kwa mwezi. Hata hivyo, nasikitika kusema kwamba mume wangu alianza kuwa na uhusiano wa kimepanzi na baadhi ya wafanyakazi pale kazini bila mimi kujua kama kuna jambo lolote linaendelea. Suala hilo…
Author: Ngirisho1
Inauma sana: Mtoto wangu kaenda chuo kikukuu katumbukia katika umalaya na dawa za kulevya Mtoto wangu Baraka alijiunga na chuo miezi michache iliyopita na kama unavyojua ni furaha ya kila mzazi kuona mtoto wake akifaulu na kupanda ngazi za juu kimasomo, mafanikio yake yamekuwa ya kusisimua sana kwangu. Hata hivyo, miezi mitatu baada ya kujiunga na chuo kikuu, nilianza kupigiwa simu na marafiki zake kwamba alikuwa anafanya umalaya na kutumia dawa za kulevya na hata kujihusisha na magenge hatari. Nilidhani ni uvumi lakini baada ya kupigiwa simu uongozi wa chuo kuwa mwanangu amekuwa mlevi wa kupindukia, nilijua hali ni mbaya…
Nilimsaliti mke wangu akaondoka: Jinsi uchawi wa mapenzi ulivyomrudisha Jina langu ni Hamadi Murimi, mwanamume ambaye maisha yake ni shuhuda wa ukweli kwamba kila chaguo tunalofanya katika maisha huturudia na wakati mwingine kuamua hatima yetu bila ya sisi hata kupenda. Kwa muongo mmoja, nilibarikiwa kuwa na mwanamke mmoja mzuri ajabu sana ambaye kusema kweli alikuwa ni mwanga wa upendo na utulivu katika maisha yangu. Hata hivyo, kutokana na udhaifu kama mwanaume kuna wakati nilipotoka na kutoka kwenye njia. Nilimsaliti, na kwa kufanya hivyo, nilivunja utakatifu wa ndoa yetu. Kubainika kwa uovu wangu huo ambao ulipelekea kupata watoto wawili nje ya…
Afichua siri ya kunusurika katika ajali iliyoua watu 56 Kutokana na Joshua Muchiri ambaye ni mtu mwenye bahati, alinusurika kwenye ajali mbaya ya barabarani iliyogharimu maisha ya watu 56 huko Isihara, Embu nchini Kenya. Joshua alikuwa akisafiri kutoka Nairobi kuelekea Meru kwa Bus ambalo liligongana uso kwa uso na lori lililokuwa limebeba mafuta, ajali hiyo ilisababisha moto mkubwa ulioteketeza magari yote mawili na mengine kadhaa yaliyokuwa karibu. Kwa upande wake Joshua anasema alikuwa amekaa kiti cha nyuma cha Busna na alifanikiwa kuvunja dirisha na kuruka nje kabla ya moto kumfikia. Alipata majeraha ya moto na michubuko, lakini alikuwa hai. Anasema…
Wezi waliopora Mzee Ksh200,000 washindwa kutembea na kuganda kama sanamu Dada mmoja aitwaye Khadija kazi yake ilikuwa rahisi tu, kazi hiyo ilimbidi tu kujifanya kama anauza mkufu wa dhahabu kwa bei ya kutupa kisha kuwavuta wateja hadi eneo fulani la uchochoni karibu na Old Town, halafu hapo wanaume kadhaa watajitokeza na kumpora mwanaume huyo. Alikuwa na sehemu tatu tofauti za kufanya uhalifu huo ambao uliongozwa na wanaume wenye bunduki moja, visu kadhaa na pingu zilizonunuliwa kutoka kwa afisa polisi ambaye anaunga mkono uhalifu. Siku moja Khadija alisimulia hadithi yake ya jinsi yalivyoweza kuachana na genge hilo na kuanza maisha yake…
Nimemtafutia mpenzi wangu kazi sasa kanizidi mshahara Jina lagu Abigail, nilikutana na mchumba wangu akiwa hana kazi, mimi nilikuwa na kazi kwa hiyo nikawa namsaidia kifedha huku tukitafuta ramani za yeye kupata chochote cha kufanya kupata kipato na kuendesha maisha yetu. Nilijaribu kumuombea kazi ofisini kwetu lakini hakufanikiwa na kila sehemu alikokuwa anapeleka barua hakufanikiwa. Ilifika kipindi hadi alipokuwa anaishi kwa ndugu zake ikawa shida maana alionekana kama mzingo. Isingekuwa rahisi kipindi kile kukubali aje kuishi na mimi maana hatukuwa tumeoana. Hivyo familia yangu lazima ingeleta shida maana imekuwa yenye kufuata maadili kwa sana. Ili kuepuka kukaa bila kazi ilibidi…
Mguu mkavu wa binadamu wakutwa ndani ya Bucha! Kutokama na Sofia Mutola ambaye ni mwanamke mchapakazi na anayetamani mambo makubwa, mrembo huyu anamiliki msururu wa mabucha huko Dagoretti, kaunti ya Nairobi nchini Kenya maarufu kwa wengi kama Ndonyo Kichinjio. Miaka minne iliyopita, alianza biashara yake na tangu mwanzo na akaikuza na kuwa biashara yenye mafanikio, alikuwa na wateja waaminifu ambao wangekuja kutoka maeneo mbalimbali kama Ngong, Kinoo, Kangemi, Kilimani na Kileleshwa ili tu kumnunulia nyama kwake. Kusema kweli alikuwa nyama ya ubora, wengi waliisifia bucha yake kwa kuuza nyama yenye mafuta yenye ubora, hilo lilifanya wateja kumiminika kwa wengi katika…
Jinsi nilivyopata zabuni ya Ksh15 milioni kutoka Wizara ya Afya kwa urahisi tu! Hujambo ndugu msomaji?, bila shaka wewe ni mzima. Jina langu ni Raya, Leila, mmiliki na wakala wa kampuni ya usafi ambayo pia huwaunganisha waajiri na wafanyikazi wa majumbani ili kuwapatia ajira. Asubuhi moja nilipokuwa nikisoma gazeti, macho yangu yaliangukia tangazo la umma kutoka kwa wizara ya afya. Walikuwa wakitafuta kampuni ya kufanya huduma zao za usafi. Zabuni hiyo ilikuwa ya thamani ya Ksh15 milioni. Marafiki zangu waliokuwa na mashaka, walitupilia mbali fursa hiyo, walidai kwamba zabuni kama hizo hutolewa kwa watu wachache tena ndani ya wizara pekee.…
Mwanamke akimbia akidai mumewe ni mnyama wa porini kitandani Je, umewahi kusikia habari zozote kuhusu mwanaume mwenye uwezo wa kumfukuza mke wake kwenye kitanda chao cha ndoa kutokana na hamu ya tendo la ndoa?. Wiki iliyopita, mwanamke mmoja kutoka Embakasi nchini Kenya alijikuta akitoroka nyumbani kwake mwenyewe kwa sababu mume walikuwa anataka tendo la ndoa kila mara. “Mume wangu hataki raundi moja tu, anadai hiyo haimtoshi, anataka hata raundi tano kwa usiku mmoja. Ninapojaribu kujadili naye, anasisitiza kwamba sipaswi kuonewa huruma kitandani hata kidogo,” alisema. Mumewe alifichua siri iliyosababisha hamu yake isiyotosheka – alikuwa ametafuta usaidizi kutoka kwa…
Kidole cha binadamu ndani ya keki chaharibu harusi na biashara By A24Tv Kutana na Eric na Natasha ambao ni waokaji mikate maarufu wanaoishi katika Jiji la Kisumu nchini Kenya katika mtaa uitwao Car Wash, kazi yao imewafanya kujulikana na wengi katika eneo lao. Walianza kuoka mikate yao miaka 10 iliyopita na kusema kweli biashara yao imekua kwa haraka sana, kwa sasa wana duka la keki huko Kisumu CBD na wameajiri watu 13 wa kuwasaidia kazi. Maisha yalikuwa matamu kati yao hadi walipofanya sherehe ya kufunga ndoa hapo Februari 2023, keki iliyokusudiwa kuongeza furaha katika harusi yao iliyoandaliwa huko Mamboleo ikaleta…