Jinsi ukahaba ilivyonipa Kisonono! Jina langu ni Mom, kutokana na ugumu wa maisha nilijikuta nimeingia kwenye biashara ya ukahaba bila mimi mwenye kupenda, nilifanya kazi ile kishingo upande, ni vile tu sikuwa na jinsi ya kuweza kuendesha maisha. Nilikumbana na changamoto nyingi, moja wapo ambayo ni kubwa zaidi ni kukamatwa na Polisi na kufikishwa kituoni, kama ukiwa siku hiyo umepata fedha kidogo inabidi kuwagawia kidogo. Ila changamoto nyingine ni kwamba wateja wengi hawakutaka kutumia kinga (kondomu) au mwingine anaivaa kabisa halafu katikati ya safari anaipasua kwa makusudi. Hali hiyo lilikuwa likinikera kwani maradhi ni mengi, nilivumilia hilo kutokana sikuwa na…
Author: Ngirisho1
Nimedhibiti fedha zangu zilizokuwa zinatoweka kimauzauza! Kwa jina naitwa Juliana kutoka Kigoma, Tanzania, nimefanya kazi sana katika kampuni nying, nilikuw napata fedha za kunitosha mimi na familia yangu pamoja na baadhi ya ndugu zangu. Nikaendelea kufanya kazi vizuri kila mwisho wa mwezi nilikuwa naingiziwa kwenye akaunti yangu ya Benki, lakini ikawa siku zinavyozidi kwenda sioni fedha zangu. Kila nikipata hela sijui zinaishaje, sizioni nikizitumia kwa faida hadi nikakata tamaa ila nikawa naendelea kufanya kazi bila kujua hela zinapotelea wapi, ni jambo ambalo lilikuwa linanipa sana msongo wa mawazo. Unajua kila mtu anapofanya kazi anataka kuona na maisha yake yakibadilika na…
Na Joseph Ngilisho ARUSHA Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdala Ulega amezitaka taasisi za Utafiti wa Uvuvi Tanzania kushirikiana kikamilifu na taasisi za kiserikali kuangalia uwezekano wa kupandikiza samaki katika bwawa la Mwalimu Julius Nyerere ili kukuza ustawi wa uvuvi nchini. Ulega maeeleza kuwa kufuatia taifiti zilizo fanywa zinaonyesha uwezekano wa kuweka samaki katika Bwawa la Mwalimu Nyerere ni mkubwa na kwa kufanya hivyo kutachochea shuguli za kiuchumi kwa watanzania wa ukanda huo. Waziri Ulega alitoa maelekezo hayo wakati akifungua Kongamano la Tatu la Kisayansi la Utafiti wa Uvuvi na Ukuzaji Viumbe Maji katika Kukuza Uchumi wa Buluu Endelevu(3rdFAR4VIBE) linalofanyika…
Na Joseph Ngilisho ARUSHA Maendeleo ya ujenzi wa uwanja wa Mpira wa Miguu Mkoani Arusha wa Samia Suluhu Hassan unaojengwa na kampuni ya China ya Railway Construction Engineering Company Limited (CRCEB)kutoka nchini China unaendelea vizuri na upo asilimia nane tangia kuanza kwa mradi huo Julai mwaka huu. Akiongea na waandishi wa habari waliotembelea mradi huo jana, msimamizi wa shughuli za ujenzi, Denice Mtemi alisema kuwa shughuli za Ujenzi mradi huo wenye thamani ya sh,bilioni 286.9 zinaendelea vizuri na hakuna changamoto kubwa. Alisema kwa sasa wapo katika hatua ya awali ya kuchimba msingi ambayo imefikia asilimia 95 na wanaendelea kumwaga zege…
Dawa ya kweli kwa wanaoota ndoto mbaya! Jina langu ni Nasra kutokea Tanga nchini Tanzania, miaka kadhaa nyuma iliyopita nilijikuta kwenye sehemu ya mauzauza, nilikuwa naota ndoto mbaya, nilikuwa katika mazingira ya shule, kwa kuwa mazingira yale yalijaa mauzauza sikuweza kushangaa sana. Ilikuwa haipiti wiki mimi sijaugua, nilikuwa naota ndoto kama nakabwa, kipindi hicho bado nipo Shule, ilikuwa ni hali ya kuhatarisha katika maisha yangu, kiukweli katika dua na jamaa zangu lakini haikusaidia lolote. Tulikuwa tunaamka pamoja na rafiki yangu muda wa saa 11 alfajiri, tunaomba dua hadi saa 12 asubuhi, kisha tunakwenda kuungana na wenzetu. Usiku saa nne kamili…
Dawa ya matapeli wote, ukitapeliwa tumia hii! Jina langu ni Mami wa Dar es Salaam, Tanzania, wakati naanza kazi, nilifurahi, nilihitaji chumba kipendeze, nivae nguo safi niwe sawa na wengine maana maisha ya wewe kila siku nyuma tu wala haipendezi. Basi, mwisho wa mwezi mshahara ukaingia kwenye akaunti yangu ya Benki Nilipanga kwenda kununua vitu vingi vya ndani na nguo kidogo. Siku moja nilikutana na mama mtu mzima naye anaenda sehemu ninayoelekea, yule mama nilipanda naye gari moja, konda akaanza kudai nauli alipofika kwa yule mama kumbe hakuwa na fedha ya nauli. Ghafla ugomvi ukaanza, masikini yule mama alilalamika haoni…
Na Joseph Ngilisho ARUSHA Wananchi na wakazi wa mikoa ya Kanda ya Kaskazini wameshauriwa kujitokeza kwa wingi kupima na kupata tiba ya Magonjwa ya Moyo katika Hospitali ya Rufaa ya Arusha Lutheran Medical Centre (ALMC)baada ya kubainika kuwa watu wengi wenye matatizo hayo wanatoka ukanda wa kaskazini hususani mikoa ya Arusha na Manyara. Rai hiyo imetolewa na Daktari Bingwa na Bobezi wa Magonjwa ya Moyo Kutoka hospitali ya taifa ya Jakaya Kikwete (JKCI) dkt Samweli Rweyemamu,wakati akiongea na waandishi wa habari katika hospitali ya ALMC jiiini Arusha na kusisitiza kuwa bado wanaendelea kutoa huduma ya matibabu ya moyo kwa wananchi…
Na Joseph Ngilisho ARUSHA JUMLA ya Walimu wakuu wa shule za msingi wapatao 9132 katika mikoa 13 nchini wamepatiwa mafunzo ya uongozi, usimamizi na uendeshaji wa shule yaliyolenga kuwajengea ujuzi na maarifa ili kufikia viwango bora vya elimu kwa kuboresha utendaji wao wa kazi. Hayo yamebainishwa jana na Mwenyekiti wa bodi ya ushauri ya ADEM ,Dkt Leonard Akwilapo wakati akifunga mafunzo ya siku tatu katika halmashauri ya Arusha,kwa awamu ya tatu kwa walimu wakuu 1398 wa mikoa ya Arusha na Manyara yaliyoandaliwa na wakala wa maendeleo ya uongozi wa Elimu ADEM na kufadhiliwa na benki kuu ya dunia chini ya…
BY A24 TV ARUSHA KAMISHNA Uhifadhi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS),Profesa Dos Santos Silayo amewataka wadau wa ufugaji nyuki nchini kutumia fursa za mkutano wa Dunia wa Ufugaji wa Nyuki (Apimondia) unaotarajia kufanyika 2027 kuvutia wawekezaji. Profesa Silayo ameyasema hayo wakati aliposhiriki mbio za Nyuki zilizoshirikisha wanariadha zaidi ya 500 kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika, Ulaya na Asia zenye urefu wa kilometa 10 na kilometa 21 zitakazofanyika kwenye viwanja vya General Tyre jijini Arusha. Alisema utunzaji wa mazingira utawezesha nyuki kuzaliana kwa wingu na kuwezesha uchumi kukua na kutoa rai kwa wananchi kufunga nyuki kwa kutumia mizinga…
Ongeza mauzo katika biashara na kuvuta wateja Jina langu ni Amina kutokea Mbeya nchini Tanzania, toka mwaka 2016 mume wangu alikuwa akinipa mtaji, kila nikifungua biashara ikifika miezi minne inakufa ingawa mwanzo kila kitu kinakuwa vizuri ila baadaye zinakufa. Alikata tamaa kunipa mtaji na nilikubali tu kuwa mama wa nyumbani, akaniambia nisubiri kama serikali ikitangaza ajira basi niombe kazi maana nilikuwa nimesoma Udaktari. Ingawa alikua ananihudumia kwa kila kitu lakini bado sikua na amani, nilikua naumia kwani nililazimika kuomba kila kitu hadi kuna muda nikawa naona aibu kwake. Mwaka 2010 niliweza kutafuta mtaji wangu mwenyewe, nilifungua biashara ya nguo, sehemu…