Na Bahati Hai, Waumini wa Dini ya kiisllamu mkoani Kilimanjaro,wametakiwa kuendelea kudumisha amani katika kuelekea uchanguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka…
Browsing: Habari
.Watu Saba wakiwemo wanakwaya Sita wamefariki dunia papo hapo huku wengine 23 wakijeruhiwa baada ya gari walikokuwa wakisafiria kupoteza mwelekeo…
Siha, Mkuu wa Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro Christopher Timbuka,katika kuelekea uchanguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu,amewataka watu wanaokusudia kufanya…
Karibu Atusha24tv kutazama maandalizi ya futari iliyo andaliwa na Hotel ya Kisasa ya Jijini Arusha ambayo imewakusanya wadau mbali mbali…
Hai, Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro Hassani Bomboko,amewataka maafisa mazingira Wilayani humo kuhakikisha wanasimamia wajibu wao ili mazingira…
Siha, Baraza kuu la Waislamu Tanzania ( BAKWATA), Wilayani Siha mkoani Kilimanjaro limesema litampokea mtu yeyote yule anayekuja na jema…
Siha, Wananchi wa kijijii cha Sanya Hoyee Wilayani Siha mkoani Kilimanjaro wameomba Viongozi wa maeneo hayo kuzuia upigwaji Muziki katika…
Na Mwandishi wa A24tv .Same Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kwa kushirikiana na vyombo vingine…
Na Pamela Mollel,Arusha Mhashamu Baba Askofu Mkuu wa kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki (K.K.A.M)Oscar Ulotu amemsimika rasmi Dkt.Philemon Mollel,mfanyabishara maarufu(Monaban)…
Na Mwandishi wa A24tv. NCAA. Kamati ya kudumu ya Bunge ya uwekezaji wa mitaji ya Umma (PIC) imefanya ziara katika…