Naibu Katibu Mkuu wa wizara ya uwekezaji Viwanda na Biashara Dkt .Hashil Abdalah ameakikishia kiwanda uzalishaji wa sukari cha kagera sugar kuwa serikali itahakikosha inayenveneza mazingira rafiki ya kuwezesha kukua na kufanya biashara uzalishaji wa sukari
Ameyasema hayo wakati wa ziara ya kamato ya kudumu ya Bunge ya Biashara viwanda na mazingira kwenye kiwanda hicho pamoja na mashamba yaliopo Mkoani Kagera .