Katibu Mwenezi wa Chama cha Tanzania Labour Party Taifa Geofrey Stephen amefika kutoa mkono wa pole kwa Mwandishi nguli wa kituo cha matangazo cha Radio five ya jijini Arusha aliye fiwa na Baba yake mzazi eneo la Ngaramtoni wilayani Arumeru Mkoani Arusha .
Katibu mwenezi aliambatana na waandishi mbali mbali wakubwa Jijini Arusha kutoa pole akiwemo Geofrey Thomas wa Ayo Tv Asiraj Mvungi wa ITV Radio One Jamila Omary wa Channel Ten Marry Mwita wakili wa kujitegemea pamojana Farhia Middle wa Radio one na ITV Dar es Saalam .
Waandishi wengine waliofika katika Msiba huo ni pamoja na Ashura Mohamed Mwariri wa Radio Five Janeth Mushi wa gazeti la Mwananchi , Vero Ignatus