Hai
Sheikh wa mkoa wa Kilimanjaro Shaabani Mlewa,Amewataka waumini wa Dini ya kiislamu kujitokeza katika uchaguzi wa Serikali za mitaa kwa kuchangua Viongozi wenye sifa na waadilifu ili kuwa maendeleao
Pia amewataka kujitokeza na kujiorodhesha katika Daftari la wapiga kura muda ili uwawe na sifa ya kuwa mpiga kura.
Akizungumza Mara baada ya kuswali Idd El hajj kimokoa katika msikiti wa Safii Bomang’ombe Wilayani Hai mkoani hapa
,Amesema mwaka huu ni wauchaguzi wa Serikali za mitaa muhimu kujitokeza kugombea na kama hautaki kugombea basi tutafutie mtu mwenye sifa za kugombea , muadilifu kwani nchi hii inataka watu wenye sifa ya waadilifu ili kupata maendeleao
“Ni kweli tunataka viongozi wenye sifa na waadilifu kuwapata hao, nilazima uwe na sifa ya kupiga kura ,bila kujioredhesha katika daftar la wapinga kura itakuwa ni kazi bure”amesema Mlewa
Mlewa amesema mbali na kujioredhesha kwenye Daftari hilo pia ametoa angalizo wakati wa kupiga kura za maoni za kugua viongozi ,wachagueni mtu ambaye anayekubalika kwenye jamii ya watanzania
Hivyo naomba mamba mawili ,moja mkajisaliji ilikuwa na sifa ya kushiriki chaguzi zinazokuja ikiwamo ya Serikali za mitaa,pia wakati wa kura za maoni chagueni mtu ambaye anakubalika ,
Pia ametaka Waumini na Wananchi kwa ujumla kuendelea kuwalinda amani ya Nchi yetu ,kwani amani ni jambo njema sana la kuleta maendeleao hivyo amani
Awali katika hutuba yake Athumani Hamisi ,anewataka waumini kusherekea sikukuu kwa kufanya mema,kuitembelea wagonjwa ,yatima na wajane na sio siku ya kumuasi Mungu.
“Ni kweli siku ya leo sio siku ya kufanya upuuzi ,tujiepushe na maasi ili kupata rehema za Mungu “anesema Hamisi
Mwisho