Jiji la Aruha limefanya kumbukizi ya kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julias Nyerere aliye fariki dunia miaka 25 hiliopita ambapo leo amesomewa Misa ya kumbukumbu mkoani Mwanza ambapo Mh Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Mh Rais Samia Suluhu Hassan ameudhuria Misa hiyo takatifu .