Maelfu ya wakazi wa Mkoa wa Arusha wakiwa kwenye matembezi ya pamoja ya kuuombea Mkoa wa Arusha na kuiombea nchi ya Tanzania leo ikiwa ni mpango wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda @baba_keagan kwa kushirikiana na Viongozi wa dini wa Mkoa huo.
Matembezi hayo yaliyoambatana na Maombi yamefanyila leo, ikiwa ni Maadhimisho ya miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara Desemba 09, 2024
Baada matembezi na Maombi Maombi, Maombi Maalum yamefanyika kwenye mnara wa saa (Clock Tower) ambapo ni kitovu cha bara la Afrika kutoka Kairo Misri mpaka Afrika ya Kusini.
Kauli Mbiu “Miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara; Uongozi Madhubuti na Ushirikishwaji Wananchi ni Msingi wa Maendeleo yatu”