Karibu Atusha24tv kutazama maandalizi ya futari iliyo andaliwa na Hotel ya Kisasa ya Jijini Arusha ambayo imewakusanya wadau mbali mbali wakiwemo na viongozi wa vyama vya siasa na wafanyabiashara wa mkoa wa Arusha. Hii ni A24tv
vyakula mbali mbali vilivyo Andaliwa kwa kiwango cha juu .