Zikiwa zimebaki masaa machache kufungwa kwa zoezi la uchukuaji fomu julai 2 mwaka 2025 kada maarufu wa chama chamapinduzi Ccm Methiew peter kabaa ametangaza kuwania udiwani katika kata ya kiutu huku akieleza kwamba nia ni kuleta maendeleo kwa wananchi pamoja na kuwaunganisha katika swala zima la kujituma katika uwekezaji na vijana kujiajiri .