Na Mwandishi wa A24tv .
Kishindo kikubwa Saba saba wananchi wakijipatia kinywaji kipya chenye ladha ya kipekee Dokta bingwa wa matibabu ya Binadamu Kazoba International Herbal imezindua kinywaji hicho cha ENERGY katika maonesho ya Biashara sabasaba Dar es Salaam,chenye uwezo mkubwa wa kuboresha afya ya mlaji.
Dkt kizoba ,Amesema Tumezindua ENERGY DRINK Mpya yenye Afya na Faida Mwilini kama dawa ama Kinga ya Magonjwa Kuondoa Sumu Mwilini
-Kuboresha Mzunguko Wa Damu -Kuondoa Uchovu Mwilini -Kuboresha Kuyeshusha Chakula Tumboni -Kupandisha Kinga Za Mwili “Ingredients: Ubuyu, Mlonge, Tangawizi.
USHAURI : NDUGU MTANZANIA ACHA KUNYWA ENERGY DRINK ZENYE ATHARI KWA AFYA YAKO AMBAZO HATA MADAKTARI HUKUSHAURI USINYWE ZAIDI YA 2 NDANI YA WIKI…
SASA DR KAZOBA ANAZINDUA ENERGY DRINK YENYE AFYA KWAKO NA YENYE FAIDA MWILINI KWAKO KAMA DAWA AMA KINGA.
KONGOLE KUBWA SANA KWA DR KAZOBA…HUU NI UKOMBOZI KWA WALE WOTE WENYE MAPENZI NA ENERGY DRINK MAANA SASA WANAKUNYWA DAWA AMA KINGA HUKU WAKIPATA FAIDA ZA ZAIDI YA ENERGY DRINK ZA KAWAIDA.
KONGOLE KUBWA SANA KWA DR KAZOBA…HUU NI UKOMBOZI KWA WALE WOTE WENYE MAPENZI NA ENERGY DRINK MAANA SASA WANAKUNYWA DAWA AMA KINGA HUKU WAKIPATA FAIDA ZA ZAIDI YA ENERGY DRINK ZA KAWAIDA.
KIFANYE KINYWAJI HIKI KUWA RAFIKI YAKO NA UTAUONDOLEA MWILI WAKO SUMU ZOTE WAKATI WOTE….UKIWA BAR AMA RESTAURANT ANZA KUWASUMBUA KWA KUAGIZA KAZOBA ENERGY DRINK..
Kwa mawasiliano piga namba hizi hapa kukutana na mwamba .
+255754251118 Dr.Kazoba