Katika kuakikisha kata ya Ngarenaro Jijini Arusha inaendelea kukaa salama bila matukio ya kialifu Polisi kata Tadey Tarimo pamoja na wanachi wameendasha zoezi la kufanya usafi kwa kufyeka vichaka atarishi ambavyo waalifu wanaweza kujificha na kufanya matukio mabaya
Pia inspector TARIMO amewaomba wananchi kuendelea kumpa ushirikiano katika kuwafichiwa wahalifu na uhalifu katika kata hiyo
Tarimo amesema ni Desturi katika kata hiyo kuendeleza utaratibu wa kudumisha usalama katika kata hiyo ambayo kwa sasa ni mfano wa kuigwa katika kata zenye utulivu katika jiji la Arusha
Mwisho .