Mwenge wa Uhuru kitaifa na matukio mbali mbali Wilayani Lushoto Mkoani Tanga ulivyo zunguka na kuzindua miradi mbali mbali na wananchi kupata Fursa ya kupiga nalo picha sio wakubwa tu na mpaka watoto wadogo wabeba mwenge wa uhuru
Mtoto ambaye ajafahamika Majina yake akiwa katika kati ya watumishi wa halmashauri ya Lushoto wakati wa kupokea Mwenge wa Uhuru kitaifa wilayani lushoto akiwa amebeba mwenge wa uhuruÂ
Masista wa St Mary’s Mazinde Juu secondary Lushoto, shule bora kitaifa ya wasichana Lushoto Wakipokea mwenge wa uhuru