HABARI PICHA,
Na Richard Mrusha
WANANCHI WALIVYOFURIKA KWENYE BANDA LA CHUO KIKUU CHA MZUMBE MAONESHO YA NANENANE MBEYA
Prof. Henry Mollel, Rasi wa Chuo Kikuu Mzumbe Ndaki ya Mbeya (Kushoto), akimkabidhi zawadi ya kikombe Mhe. Shamata Shaame Khamis, Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (Kulia), alipotembelea Banda la Chuo Kikuu Mzumbe, Kwenye maonesho ya Nanenane 2023
Mhe. Shamata Shaame Khamis, Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (Katikati), akisaini kitabu cha wageni alipotembelea Banda la Chuo Kikuu Mzumbe, Kwenye maonesho ya Nanenane 2023
Prof. Henry Mollel, Rasi wa Chuo Kikuu Mzumbe Ndaki ya Mbeya (Kushoto), akimueleza Mhe. Shamata Shaame Khamis, Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (Kulia), kuhusu huduma zinazotolewa Katika Banda la Chuo Kikuu Mzumbe, Kwenye maonesho ya Nanenane 2023
Dkt. Nicholas Tutuba, Kaimu msimamizi wa kitengo cha Ubunifu, Ujasiriamali, na Ushirikino wa Viwanda (Kushoto), akieleza kwa Mhe. Shamata Shaame Khamis, Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (wapili Kulia), kuhusu huduma za ujasiriamali zinazotolewa Katika Banda la Chuo Kikuu Mzumbe, Kwenye maonesho ya Nanenane 2023.
Prof. Henry Mollel, Rasi wa Chuo Kikuu Mzumbe Ndaki ya Mbeya (Kushoto), akimkaribisha Mhe. Shamata Shaame Khamis, Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (Kulia), Katika Banda la Chuo Kikuu Mzumbe, Kwenye maonesho ya Nanenane 2023.
Prof. Henry Mollel, Rasi wa Chuo Kikuu Mzumbe Ndaki ya Mbeya (Kushoto), akimkaribisha Mhe. Shamata Shaame Khamis, Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (Kulia), Katika Banda la Chuo Kikuu Mzumbe, Kwenye maonesho ya Nanenane 2023
Mwisho .