Walimu wa Murieti Darajani kupitia kikao chao leo asubuhi wamemshukuru mkurugenzi wa jiji la Arusha Juma Hamsini kwa kwa kutimiza ahadi yake ya ambayoViti Na meza za walimu uaiitoa tarehe 2/2 wakati wa ziara ya Kamati ya Siasa ya Wilaya.
Waaliku hao wamempngeza mkurugenzi na kumwombea kheri kwa Mungu ambariki katika shughuli zake za Halmashauri ya Jiji la Arusha .
Mwisho .