Sheikh Shafi Muhammad Memon
wa Mikoa wa Arusha, Kilimanjaro na Manyara.
Jumuiya ya Waislamu Wa Ahmadiyya
Ameshauri wananchi kwa ujumla kwamba katika mazingira yoyote na hali yoyote, daima
Kauli hiyo ametoa wakati wa kufunga maonyesho ya wakulima nane nane yaliofanyika katika viwanja vya taso njiro Jijini Arusha
jitahidini kuwakilisha picha halisi ya Islam katika kila mwenendo na tabia yenu.
Muwe na mwenendo sahihi na mjaribu kuonyesha mfano wa tabia bora kabisa kama wananchi katika nchi mnamoishi. Daima muwe watii kwa taifa lenu na msipingane na
serikali yenu kwa namna ambayo itakuwa ni kinyume na sheria za nchi.
Muwe watii kamili kwa serikali na bilashuruti mtoe kila aina ya ushirikiano. Ni lazimaa.
muonyeshe mapenzi kwa nchi yenu – hii ni kwa sababu haya ndiyo mafundisho ya
Mtume wetu Mtukufu s.a.w. ambaye ametuelekeza kwamba ‘Mapenzi kwa nchi yake
ni sehemu ya imani ya mtu’.
Kiongozi huyo aligawa vitabu vya dini ikiwa ni sehemu ya kuendelea kuweka imani kubwa kwa viongozi waliopata dhamana kuongoza wananchi