Author: Geofrey Stephen

Na Bahati Hai, Wananchi wa Kijiji cha Mashua kata ya Masama Magharibi Wilayani Hai mkoani Kilimanjaro,wamelaani kitendo cha Mkazi wa Kijiji hicho Aliashiwanga Mmari (70),kudaiwa kulawiti mjukuu wake (8)Darasa la pili shule ya msingi Nsongoro Hata hivyo Mwenyekiti wa Kijiji hicho Mbaruku Mmari amesema ameshafikishwa kituo cha Polisi Bomang’ombe Wilayani humo Wananchi hao wakizungumza na waandishi wa habari kwa nyakati tofauti,wamesema kitendo alichofanya kwa mjukuu wake nicha kulaaniwa na kila mtu sasa na ,Sheria ichukua mkondo wake ili iwe fundishi kwa mambo haya yamekuwa yakiongezeka kila uchwao “Ni kweli Sheria ichukue mkondo wake ,haya matukio yamekuwa yakijirudia rudia siku hadi…

Read More

Na Bahati Hai . Mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro Amir Mkalipa ameipa kongole ,Taasisi ya Tanzania Islamic Teaching Association (TISTA), Wilayani hapo kupeana mawazo namna ya kufundisha elimu ya Dini Shuleni ,lakini pia namna ya kuona wanawasaidia watoto katika swala nzima la maadili na malezi ili waje kuwa raia wema wa Watanzania Haya yamesemwa na Mkuu wa Wilaya hiyo wakati wa semina ya usimamizi wa mtihani wa Taifa wa EDK wa Darasa la saba iliyofanyika katika ukumbi wa Misikiti wa Safii Bomang’ombe Wilayani humo,na kuhudhuria na Walimu wa shule ya Msingi , Sekondari na Walimu wa Madrasa. Mkalipa…

Read More

Na Mwandishi wa A24tv. Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) Kanda ya Kaskazini kwa kushirikiana na Asasi ya Youth Hub Arusha tarehe 12.08.2024 imeadhimisha Siku ya Vijana Duniani kwa kutoa elimu kinga kwa vijana 63 katika Ukumbi wa MS Training Center for Development Cooperation uliopo Leganga wilayani Arumeru Mkoa wa Arusha. Kaulimbiu ya maadhimisho hayo kwa mwaka 2024 ni _”Vijana na Matumizi ya Fursa za Kidigitali kwa Maendeleo Endelevu”_. Ofisi ya Mamlaka Kanda ya Kaskazini pia ilitumia jukwaa hilo adhimu katika kuwahimiza vijana kutokujihusisha na matumizi au biashara haramu ya dawa za kulevya sababu vitendo hivyo…

Read More

By A24 Tv Polisi Mkoani Mbeya wamemkamata Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa Baraza la Vijana CHADEMA ( BAVICHA), John Pambalu muda mfupi baada ya wawili hao kuwasili Songwe Airport leo August 12,2024. Mbowe amekamatwa baada ya kutua Songwe Airport kwa lengo la kufika Jijini Mbeya ili kufuatilia hatima ya Viongozi waliokamatwa jana August 11,2024 katika Ofisi za CHADEMA Kanda ya Nyasa akiwemo Makamu Mwenyekiti CHADEMA Bara Tundu Lissu, Katibu Mkuu John Mnyika na Mwenyekiti wa Kanda Joseph Mbilinyi (SUGU). Lissu, Mnyika na Sugu waliwasili Mbeya jana ili kuungana na Vijana wa Chama hicho kupitia Baraza…

Read More

Nimemfumania mume wangu na rafiki yangu tena katika kitanda changu! Waswahili hawakukosea kusema kikulacho kiko nguoni mwako, nasema hivyo kutokana na tukio lilonikuta maisha mwangu, kamwe siwezi kusahau na itakuwa ni vigumu sana kwa mimi kuja kumwamini sana rafiki yangu tena wa kike. Jina langu ni Mama Sadiki, mwishoni mwa mwaka jana nilikutana na tukio moja kubwa la kushangaza maishani mwangu, nalo ni kumfumania mume wangu wa rafiki yangu wakifanya yao tena kwenye kitanda changu. Nasema ni tukio la kushangaza kwa sababu huyu rafiki yangu alikuwa ni mtu wangu wa karibu sana, kila wakati angekuja nyumbani kwangu na angemsalimia mume…

Read More

Na Bahati Siha Halmshauri ya Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro,imepewa kongole kwa kufanya vizuri katika vigezo vitatu Vigezo hivyo ni ujenzi wa Miradi mbali mbali ya maendeleao Kwa kufikia asilimia 95,uchumi wa halmshauri unaenda vizuri,na kigezo kingine ni kupata hati safi miaka mitatu mfululizo Ponceano Kilumbi kutoka ofisi ya katibu tawala wa mkoa huu ,akizungumza katika kikao cha Baraza la maalumu la mwaka kupitia shughuli zote za halmshauri katika kipindi cha mwaka wa fedha 2023/2024, katika ukumbi wa halmshauri hiyo,amesema halmshauri hiyo inafanya vizuri sana nakuonye wasirudi nyumba kuwaletea maendeleao Wananchi wa Siha “Ni kweli nasema Siha wanakwenda vizuri utokana…

Read More

Unaweza kupata kazi kwa urahisi kupitia mtu huyu! Siku zote huwa nasema hakuna kitu ambacho kimekuwa kikiwasumbua vijana wengi kwa sasa kama kupata ajira, bila ajira ni vigumu kwa kijana kuweza kuendesha maisha yake na kuwa mtu mwenye mafanikio. Siku zoye imekuwa ikiaminika kuwa mtu aliyeenda shule kusoma hadi elimu ya juu amekuwa katika nafasi nzuri zaidi ya kupata kazi, lakini kadiri miaka ambavyo imekuwa ikienda suala la ajira limekuwa changamoto kwa wasomi na wasio wasomi. Baada ya kuhitimu masomo yangu ya ufundi stadi nilikaa nyumbani miaka minne bila kufanikiwa kupata ajira licha kutuma maombi katika ofisi mbalimbali za kiserikali…

Read More