Julai 19 karibu kutazama magazeti ya leo ya Tanzania kilicho andikwa mbele na nyuma ya magazeti Hii ni A24Tv . Mwisho.
Author: Geofrey Stephen
Karibu Arusha24Tv leo Julai 18, 2023,kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.Hii ni A24Tv . Mwisho .
Na Mwandishi wa A24Tv Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda leo Julai 17, 2023 jijini Dar es Salaam amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia Nchini Tanzania Bw. Nathan Belete na ujumbe wake. Kikao hicho kilikuwa na lengo la kujadili mpango pendekezwa wa utekelezaji wa mageuzi ya Elimu na ushirikiano na Benki ya Dunia katika utekelezaji huo. Aidha wamekubaliana kuboresha miradi ya BOOST na SEQUIP ili iweze kukidhi kuwezesha mahitaji ya utoaji elimu ujuzi pamoja na kujadili maendeleo ya Miradi mingine katika ngazi ya elimu ya ufundi.
Karibu Arusha24Tv leo Julai 17 2023 Kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya leo ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv . Mwisho .
Na Richard Mrusha Mkurugenzi wa Shule za Alpha High School ,Fatina Mbwambo amesema Mwitikio ni mzuri wa watu kujitokeza kupima vipaji lakini utangazaji wake bado haujafanywa kikamilifu tofauti na nchi zingine wametangaza na watu wanagombania lakini hapa nchini ni mara ya kwanza.. amesema tangu kuingia mashine hiyo kwa mara ya kwanza nchini mwanzoni mwa Mwaka huu kupitia shule ya Sekondari Alpha tayari watu 31 wamepimwa vipaji. Amesema waandishi wa habari kaweni mabalozi mkaitagazie umma kuwa Tanzania pia imapeta bahati ya kupata hiii teknolojia kwasababubu baadhi ya nchi wamewatumia waandishi wa habari kutangaza hii teknolojia. “Kilichotuongoza kufanya hivyo mara nyingi tunaona…
Jumapili ya leo ya Julai 15 karibu Arusha24Tv leo kutazama kilicho andikwa katika magazetibya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24Tv – Advertisement – Mwisho .
Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Missaile Mussa amesisitiza wakulima na wauzaji wa mbegu nchini kuzalisha mbegu Bora zenye kuongeza lishe Ili kuwa na jamii yenye Afya Bora na kukuza Pato lao sanjari na kulima Kwa tija. Ameyasema hayo wakati akifungua maonesho ya kibiashara Tari Selian Jijini Arusha yenye kauli mbiu,”Kabiliana na mabadiliko ya tabia nchi tumia teknolojia bunifu za kilimo Kwa uhakika wa chakula na kipato” ambapo aliwakilishwa na Katibu Tawala Msaidizi Uchumi na Uzalishaji Mali Mkoa wa Arusha Daniel Leiruk. Aidha amesema imeelekezwa kwamba kilimo kinahitajika kuwa na mchango Kwa mtu mojamoja na nchi Kwa ujumla katika Afya na…
Leo Julai 15, 2023 TunakukaribishaA24Tv kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania Hii ni A24Tv . Mwisho.