Author: Geofrey Stephen

Na Doreen Aloyce, Dodoma RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Wizara ya Ulinzi na JKT kuandaa mpango mkakati wa kurekebisha makambi kwenye Jeshi la JKT katika upande wa malezi ya vijana. Dkt .Hassan ameyasema hayo leo jijini Dodoma wakati akishiriki sherehe za kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la kujenga Taifa (JKT). Aidha amelitaka Jeshi hilo kuliwezesha Shirika la SUMA JKT kupata mikopo ili wazalishe na waweze kurejesha mikopo na shirika liweze kuendelea, na kwamba kama ikitakiwa udhamini wa Serikali itakuwa tayari. Amesema dhamira ya Serikali ni kuiboresha JKT ili liwe Jeshi la kisasa zaidi…

Read More

Na Queen Lema,Dar es salam Waimbaji wa Muziki wa injili hapa nchini wametakiwa kuzingatia ubora wa kazi zao, ili kuleta ushindani katika tasnia hiyo ya Muziki ndani na nje ya nchi. Hayo yamesema na Mkurugenzi wa kampuni ya Muziki hapa nchi TanaPlay Mudic Platform Bwana Daniel Mngoma Dcom, wakati akizungumza na A24Tv hili, ofisini kwake Ukonga, Dar es salaam. Mkurugenzi huyo amebainisha kwamba, sanaa ya Muziki pamoja na huduma kwa Ujumla imekua ikipata changamoto hasa sokoni, kutokana na ubora wa kazi kuwa chini. “Ninapozungumzia ubora namaanisha kuanzia Audio na kisha Video, Sisi kama TanaPlay tumekuja na suluhisho ambalo naamini Muziki…

Read More

Na Doreen Aloyce,Dodoma RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele Cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT Julai 10, 2023 Hayo yamesemwa na Waziri wa Jeshi la Ulinzi na Kujenga Taifa Innocent Bashungwa alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kilele Cha Maadhimisho hayo. Bashungwa ametumia nafasi hiyo kuwaalika viongozi wote wa serikali, taasisi mbalimbali za Umma na binafsi , watumishi, Wananchi wa mkoa wa Dodoma na watanzania kwa ujumla kujitokeza kwa wingi kuhudhuria siku ya kilele cha Maadhimisho hayo. ” Napenda kuwashukuru JKT kwa maandalizi ya Maadhimisho haya wadhamini na wote wanaoshirikiana…

Read More

Na Geofrey Stephen,ARUSHA MKOA wa Arusha umezindua mtandao wa kupambana na ukatili wa kijinsia kwa jamii za pembezoni, ili kuongeza nguvu na kuwa na sauti ya pamoja ya kupinga na kutokomeza matukio hayo ambayo yanakithiri katika mikoa ya Arusha na Manyara. Aidha wamesoma tamko la kutaka mabadiliko ya sheria ya ndoa na umri mdogo wa msichana kuolewa. Akizungumza jana jijini Arusha wakati wa kufunga warsha ya siku mbili iliyoambatana na uzinduzi wa mtandao huo unaojumuisha mashirika kumi,Mkurugenzi wa Shirika la Mimutie Women Organization, Rose Njilo amesema mtandao huo utaratibiwa na shirika hilo. “Sisi kwa miaka kumi tunapambana na matukio ya…

Read More