Author: Geofrey Stephen

Na juliana Laizer Kufuatia Ujenzi wa kituo Cha Afya kilichoanza tangu 2020 kusimama bila kutokana na ukosefu wa Mapato katika vijiji vya kata hiyo ,hatimaye Suluhu lapatikana baada yakufanyika harambee katika kata hiyo. Harambee hiyo imehusisha vijiji vinne vinavyounda Kata ya Sepeko, ikiwemo Kijiji mama Mtimmoja, Lendikinya, Arkatan, na Arkaria Ambapo Kila Kijiji kilitoa shilingi millioni 10. Akiongoza Harambee hiyo Mbunge WA Jimbo la Monduli Fredrick Lowassa kwa niaba ya Mgeni Rasmi Mh Waziri wa Madini Doto Biteko amewataka wananchi kuendelea kuwa na Imani na Serikali ya Awamu ya sita katika Maendeleo Ambapo kati ya millioni 248 zilizopatika zaidi ya…

Read More

Na Mwanfishi wetu Handeni . Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa ametoa muda wa miezi mitatu kwa Kampuni ya PMM Tanzania Limited kuanza uzalishaji katika Mgodi wa Uchimbaji wa Kati wa Madini ya Dhahabu uliopo katika Kijiji cha Nyasa wilayani Handeni mkoa wa Tanga. Dkt. Kiruswa amebainisha hayo baada ya kufanya ziara katika Mgodi huo ambao unalalamikiwa na wananchi wa vijiji vinavyozunguka mgodi huo kwa kuchelewa kuanza uzalishaji na kusababisha Serikali na wananchi kukosa mapato yatokanayo na shughuli za madini. Aidha, Dkt. Kiruswa ameutaka Mgodi huo kuandaa Mpango wa Ushirikishwaji wa Wazawa katika Sekta ya Madini na Wajibu wa…

Read More

Na Geofrety Stephen Handeni Tanga Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa ameufungua mgodi wa Dhahabu unaomilikiwa na Mwekezaji Mzawa Godfrey Bitesigirwe uliopo  Kijiji cha Kilimamzinga kata ya Kang’ata Wilayani Handeni Mkoani Tanga na kuwataka wachimbaji wote wa Dhahabu kuheshimu mipaka ya leseniya mwenye mgodi vinginevyo watachukuliwa hatua. Mbali ya hilo pia Waziri Kiruswa ametoa onyo kwa  wachimbaji wadogo wadogo wa Madini ya Dhahabu kuacha mara moja tabia ya kutorosha madini hayo kwa njia ya panya bila kulipa ushuru wa serikali na kusema kuwa serikali haitawaacha salama pindi watakapokamatwa. Dkt Stephen Kiruswa akizungumza na wachimbaji hao  Dkt. Kiruswa alisema hayo katika Mkutano…

Read More

Na Mwandishi A24Tv Njombe . Watu watano akiwemo mtoto wa kike miaka nane hadi tisa Wadauwa Kupoteza maisha huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika ajali ya gari aina ya New Force namba T173 DZU linalofanya safari zake kutoka jijini Dar es salaam kwenda mkoani Rukwa katika kijiji cha Igando kata ya Luguda wilaya ya wanging’ombe mkoa wa Njombe Akitoa taarifa za awali Kamanda wa polisi mkoa wa Njombe John Makuri Imori,amesema ajali hiyo imetokea juni 21 majira ya saa nane na nusu mchana Aidha Ameswma basi la New Force lilikuwa linatoka Dar es salaam kwenda mkoani Rukwa,Sumbawanga na Mara baada ya…

Read More

Na Geofrey Stephen Mirerani Kampuni ya uchimbaji madini ya Gem & Rocky Venture inayochimba madini ya Tanzanite kitalu B katika Mji wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara imetakiwa kuchimba madini hayo kwa kufuata leseni waliyopewa na sio vinginevyo. Hayo yalisemwa na Afisa Mfawidhi wa Madini Kanda ya Mirerani,Mernad Msengi baada ya ukaguzi wa mipaka ya kampuni hiyo na Kitalu C kinachomilikiwa na Mwekezaji Onesmo Mbise kwa kushirikiana na serikali. Mfawidhi wa Madini Kanda ya Mirerani,Mernad Msengi akizungumza na vyombo vya habari ofisini kwake  Alisema uamuzi wa uhakiki wa mipaka ni kufuatia maamuzi ya rufaa ya kampuni ya Gem & Rock…

Read More