Author: Geofrey Stephen

Na Geofrey Stephen Arusha Jumla ya walim 500 wa shule za sekondari nchini wameanza kupatiwa mafunzo ya matumizi sahihi ya Tehama na Vishkwambi ili kupata mbinu mpya ya kuzitumia kwenye kufundishia. Mafunzo hayo yamekuja ikiwa ni utekelezaji wa maagizo ya Rais Samia Suluhu aliyoyatoa siku ya Mei mosi 2023 baada ya kusoma moja ya bango la walimu walioomba kupatiwa mafunzo ya jinsi ya kutumia vishkwambi kufundishia. Akifungua mafunzo hayo mkoani Arusha, Naibu katibu mkuu wizara yenye dhamana ya Elim, Dkt. Franklin Rwezimula alisema mafunzo hayo ya siku tano yanalenga kuwafundisha walimu 1500 walioko kazini mbinu mpya za matumizi ya Tehama…

Read More

Mwandishi wetu, Longido maipacarusha20@gmail.com Longido.Shirika la wanahabari wanaosaidia Jamii za pembezoni (MAIPAC) limebaini uwepo wa matukio ya ukeketaji kwa watoto waliochini ya miaka mitano wilayani Longido mkoa wa Arusha. Baadhi ya wazazi wa Jamii ya kifugaji katika Wilaya hiyo,wameanza kuwakeketa watoto wakiwa wachanga ili kukwepa kukamatwa na vyombo vya dola. Wakizungumza na timu ya waandishi wa habari wanachama wa MAIPAC wanaofanya uchunguzi juu ya kuibuka matukio ya ukeketaji watoto ,Wilaya ya Longido mkoa wa Arusha,baadhi ya wazazi na maafisa wa serikali wilaya ya Longido walisema…

Read More

Na Geofrey Stephen Arusha. Kadinali wa pili wa kanisa la Ngurumo ya upako linaloongozwa  na Nabii Mkuu Mh Dkt Geordavie jijini Arusha, Elizaberth Humphrey amemshukuru MUNGU kwa jambo kubwa lililofanyika tarehe 28 Mwezi May 2023  katika kanisa hilo kwa kumpa tuzo Nabii mkuu Dkt GeorDavie. Amesema tangu walipofika Ngurumo ya Upako kwa Nabii Mkuu GeorDavie mahali amefanyika kuwa baraka Kubwa sana kwao kwasababubu amekuwa mtu mwenye matendo yenye kugusa mioyo ya watu wengi. Amesema kuwa amekuwa Baba Mwema kwa watu wote bila kujali kabila wala Dini ndio maana watoto wake mbele za MUNGU kwetu sisi wote. Amesema alitutoa kwenye matatizo…

Read More

Mbio za nyika za Haydom Marathon (mwaka 2023) zilizofanyika leo wilayani Mbulu mkoani Manyara zimekusanya Zaidi ya shilingi Milioni 115 kwa ajili ya kuwasaidia wananchi masikini kupata matibabu. Akifungua mbio hizo leo Mei 27,2023, mkuu wa wilaya ya Mbulu Kheri James amepongeza jitihada za wadau hao kutoka kanisa la Kiinjili la Kilutheri jimbo la Mbulu kwa kuendelea kuiunga mkono serikali katika kuhudumia wananchi. Mkurugenzi wa Hospitali ya Kilutheri ya HaydomDr.Pascal Mdoe amesema fedha hizo zitakwenda kugharamia matibabu kwa Wananchi wasio na uwezo. Amesema fedha zilizochangwa na marafiki kutoka mataifa mbalimbali ni Zaidi ya Shilingi Milioni 32. Jumla ya fedha zilizopatikana…

Read More

Na Mwandishi wa A24Tv Katibu Tawala wa Mkoa wa Rukwa Bw. Gerald Musabila amewakaribisha wadau wa biashara wa ndani na nje kuja kuwekeza katika Mkoa huo wenye mazingira mazuri ya biashara. maliasili, madini, nguvu kazi ya kutosha, soko la kutosha, hali nzuri ya hewa na kijiografia ya kuvutia . Ameyasema hayo wakati akifungua Maonesho ya Kilimo, Viwanda na Biashara Mkoani Rukwa yanayofanyika katika viwanja vya Nelson Mandela Mei 25 hadi 31, 2023 yanayoongozwa na Kauli Mbiu isemayo “Uhamasishaji wa Uwekezaji katika Kilimo, Viwanda na Biashara unaozingatia uhifadhi wa Mazingira”³ Bw. Musabila pia ametoa rai kwa Mkoa huo kuendelea kutangaza fursa…

Read More