Juni 28 Msaja 2023 Karibu kupitia habari kubwa katika Magazeti ya leo ya Tanzania yalio Andikwa mbele na nyuma Hii ni A24Tv Mwisho .
Author: Geofrey Stephen
Na Gofrey Stephen Arusha . Prof Joyce Ndalichako, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu ameonya baadhi ya maofisa kazi nchini wanaotumia lugha za vitisho kwa waajiri na kutumia vibaya majina ya viongozi pindi wanapoenda kufanya kaguzi sehemu za kazi. Akizungumza jijini Arusha Waziri huyo akifungua mafunzo ya maofisa kazi kutoka mikoa yote 26 hapa nchini, yaliyoandaliwa na Shirika la Kazi Duniani (ILO) kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na masuala ya Ukimwi (UNAIDS), yenye lengo la kutoa mafunzo ya ukaguzi sehemu za kazi kuhusu virusi vya Ukimwi na usalama kazini…
Na Geofrey Stephen Arusha . SERIKALI ya watu wa China imetoa Msaada wa magari 8 yenye thamani dola 400,000 pamoja na vipuri vyake kwa jumuiya ya Afrika Mashariki( EAC) . Aidha pamoja nakuleta wataalamu wa kutoa mafunzo ya matumizi ya magari hayo kwa madereva na mafundi wa Jumuiya ya nchi za Afrika mashariki kwa ajili ya kuboresha shughuli za EAC. Akiongea mara baada ya kukabidhi magari hayo Balozi wa China nchini Tanzania CHEN MINJUAN kwenye makao makuu ya EAC Jijini Arusha amesema kwamba zoezi hilo lilikuwa lifanyike mwaka 2021 lakini kutokana na janga la uviko ndio maana limefanyika mwaka huu.…
Na juliana Laizer Kufuatia Ujenzi wa kituo Cha Afya kilichoanza tangu 2020 kusimama bila kutokana na ukosefu wa Mapato katika vijiji vya kata hiyo ,hatimaye Suluhu lapatikana baada yakufanyika harambee katika kata hiyo. Harambee hiyo imehusisha vijiji vinne vinavyounda Kata ya Sepeko, ikiwemo Kijiji mama Mtimmoja, Lendikinya, Arkatan, na Arkaria Ambapo Kila Kijiji kilitoa shilingi millioni 10. Akiongoza Harambee hiyo Mbunge WA Jimbo la Monduli Fredrick Lowassa kwa niaba ya Mgeni Rasmi Mh Waziri wa Madini Doto Biteko amewataka wananchi kuendelea kuwa na Imani na Serikali ya Awamu ya sita katika Maendeleo Ambapo kati ya millioni 248 zilizopatika zaidi ya…
Karibu Arusha24Tv leo Juni 27 kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv Mwisho .
Karibu Arusha24Tv leo juni 24 Jumamosi 2023 kutazama habari kubwa katika magazeti ya leo ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24Tv . Mwisho
Na Mwanfishi wetu Handeni . Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa ametoa muda wa miezi mitatu kwa Kampuni ya PMM Tanzania Limited kuanza uzalishaji katika Mgodi wa Uchimbaji wa Kati wa Madini ya Dhahabu uliopo katika Kijiji cha Nyasa wilayani Handeni mkoa wa Tanga. Dkt. Kiruswa amebainisha hayo baada ya kufanya ziara katika Mgodi huo ambao unalalamikiwa na wananchi wa vijiji vinavyozunguka mgodi huo kwa kuchelewa kuanza uzalishaji na kusababisha Serikali na wananchi kukosa mapato yatokanayo na shughuli za madini. Aidha, Dkt. Kiruswa ameutaka Mgodi huo kuandaa Mpango wa Ushirikishwaji wa Wazawa katika Sekta ya Madini na Wajibu wa…
Karibu Arusha24Tv leo juni 23 kutazama habari kubwa zilizo andikwa katika magazeti ya leo ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24Tv . Mwisho .
Na Geofrety Stephen Handeni Tanga Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa ameufungua mgodi wa Dhahabu unaomilikiwa na Mwekezaji Mzawa Godfrey Bitesigirwe uliopo Kijiji cha Kilimamzinga kata ya Kang’ata Wilayani Handeni Mkoani Tanga na kuwataka wachimbaji wote wa Dhahabu kuheshimu mipaka ya leseniya mwenye mgodi vinginevyo watachukuliwa hatua. Mbali ya hilo pia Waziri Kiruswa ametoa onyo kwa wachimbaji wadogo wadogo wa Madini ya Dhahabu kuacha mara moja tabia ya kutorosha madini hayo kwa njia ya panya bila kulipa ushuru wa serikali na kusema kuwa serikali haitawaacha salama pindi watakapokamatwa. Dkt Stephen Kiruswa akizungumza na wachimbaji hao Dkt. Kiruswa alisema hayo katika Mkutano…
Karibu Arusha 24Tv June 22, 2023, kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania Hii ni A24tv. Mwisho.