Na Mwandishi A24Tv Njombe . Watu watano akiwemo mtoto wa kike miaka nane hadi tisa Wadauwa Kupoteza maisha huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika ajali ya gari aina ya New Force namba T173 DZU linalofanya safari zake kutoka jijini Dar es salaam kwenda mkoani Rukwa katika kijiji cha Igando kata ya Luguda wilaya ya wanging’ombe mkoa wa Njombe Akitoa taarifa za awali Kamanda wa polisi mkoa wa Njombe John Makuri Imori,amesema ajali hiyo imetokea juni 21 majira ya saa nane na nusu mchana Aidha Ameswma basi la New Force lilikuwa linatoka Dar es salaam kwenda mkoani Rukwa,Sumbawanga na Mara baada ya…
Author: Geofrey Stephen
Juni 21 Karibu Arudha24Tv kutazama habari kubwa katika Magazeti ya Tanzania kilicho Andikwa mbele na nyuma na Hii ni A24Tv . – Advertisement – Mwisho.
Na Geofrey Stephen Mirerani Kampuni ya uchimbaji madini ya Gem & Rocky Venture inayochimba madini ya Tanzanite kitalu B katika Mji wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara imetakiwa kuchimba madini hayo kwa kufuata leseni waliyopewa na sio vinginevyo. Hayo yalisemwa na Afisa Mfawidhi wa Madini Kanda ya Mirerani,Mernad Msengi baada ya ukaguzi wa mipaka ya kampuni hiyo na Kitalu C kinachomilikiwa na Mwekezaji Onesmo Mbise kwa kushirikiana na serikali. Mfawidhi wa Madini Kanda ya Mirerani,Mernad Msengi akizungumza na vyombo vya habari ofisini kwake Alisema uamuzi wa uhakiki wa mipaka ni kufuatia maamuzi ya rufaa ya kampuni ya Gem & Rock…
Na John Walter-Manyara Mbunge wa Viti maalum mkoa wa Manyara Yustina Rahhi amewakumbusha wanawake na wanaume kujiweka karibu na malezi ya watoto ili Kupambana na Ukatiili kwa watoto kutokana na kukithiri kwa vitendo vya ubakaji na ulawiti maeneo mbalimbali nchini. Rahhi ameyasema hayo wakati akiwa kata ya Endamilay kwenye ziara ya kamati ya utekelezaji ya Jumuiya ya Wanawake wa chama cha Mapinduzi (UWT) Wilaya ya Mbulu, katika yenye lengo la kuimarisha chama cha hicho na jumuiya hiyo pamoja na kutoa elimu kwa jamii katika mapambano dhidi ya Ukatili wa Kijinsia na watoto. Rahhi amesema iwapo Wadau wote wataungana na Serikali…
Leo June 20, 2023,Tunakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania Hii ni A24Tv . Mwisho.
By Correspondent A Dar es Salaam-based catering and hospitality firm, FOODEX yesterday unveiled its new national plan to improve services delivery in the country’s hospitality industry. “We want to transform catering and hospitality industry services in this country and provide high quality and standard services to domestic and international customers,” said FOODEX Chief Executive Officer, Safa Erzurumlugil during a press briefing on the company’s new strategy in Dar es Salaam. The company’s plan intends to complement the sixth government initiatives to improve catering and the hospitality industry, which is a key to ongoing national economic and business growth and development…
Na Geofrey Stephen Monduli Wakulima na wafugaji zaidi ya 120 kutoka Kijiji cha Lolkisale Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha wamemwomba Rais Dkt Samia Suluhu Hassani kuwasaidia kulipwa fidia baada ya mashamba yao ekari 47,000 mwaka 2003 serikali kubadilisha matumizi ya kilimo na ufugaji Jeshini. Akizungumza na waandishi wa Habari jana Jijini Arusha ,Katibu wa wakulima hao aliyejitambulisha kwa jina la Joseph Ngaluko alisema kuwa wana hati ya ardhi ya umiliki wa mashamba hayo iliyotolewa mwaka 1990 na Halmashauri ya wilaya ya Monduli na wana nyaraka za nakala za barua zinazoonyesha wanapaswa kulipwa fidia baada ya serikali kubadilisha matumizi ya ardhi…
Karibu Arusha24Tv leo juni 19 kutazama habari kubwa yalio andikwa katika magazeti ya leo ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv . Mwisho .
Na Geofrey Stephen Handeni Afisa Mfawidhi wa Madini Mkoa wa Tanga,Zabibu Napacho amesitisha shughuli za Uchimbaji katika mgodi wa Dhahabu ulipo katika kijiji cha Kwandege Kata ya Lang’ata Wilayani Handeni Mkoani Tanga unaomilikiwa na Godfrey Bitesigirwe kutokana na mgogoro uliopo baina ya mmiliki wa mgodi huo na wenye maduara na kwani kunaweza kuhatarisha Usalama na Amani katika eneo husika. Napacho alisitisha shughuli za uchimbaji juni 6 mwaka huu katika mgodi wa dhahabu wenye lesseni ya uchimbaji mdogo na uchenjuaji madini –PML 0330-0337TNG-Kwandege na kusema kuwa agizo hilo ni maagizo ya Mkuu wa Wilaya ya Handeni ,Albert Msando. Kamati ya ulinzi na usalama…
Juma pili ya juni 18 karibu kupitia habari kubwa katika magazeti ya leo na Arusha24tv kilicho andikwa katika magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24Tv . Mwisho .