Na Geofrey Stephen Arusha. Wito umetolewa kwa serikali kutengeneza mazingira mazuri ya kuwasaidia vijana wanaomaliza katika vyuo mbalimbali hapa nchini ili waweze kujiajiri ikiwa ni pamoja na kusimamia Sera za vijana zilizopo na kupunguza tatizo la ajira kwa vijana. Akizungumza katika Semina kubwa ya kuwajengea vijana namna ya kugikia nfoto za kua wajasiriamali kutoka katika vyuo mbalimbali ujulikanao kwajina la UNIVERSITY ENTREPRENEUR SUMMIT uliofanyika jijini Arusha na kuwahusisha wanafunzi wa vyuo mbalimbali vilivyopo jijini Arusha Mkurugenzi wa Chuo cha Help Self Help kilichopo jijini Arusha . Amani Golugwa amesema serikali ina wajibu wa kusimamia Sera za vijana zilizopo ili kuwasaidia…
Author: Geofrey Stephen
Na Mwandishi wa A24tv Monduli Katika kukabiliana na Migogoro baina ya wawekezaji na wananchi , Mbunge WA Jimbo la monduli mh Fredrick lowassa amewataka wawekezaji kujenga mahusiano mazuri ya kijirani na wananchi Wa maeneo yanayo wekeza kwa kwa kushirikiana na kuvumilia pale panapotokea kasoro. Ametoa wito huo wakati akizindua mradi wa maji Utakaonufaisha Vitongoji vitatu, Silongoi, Nongai, kilimatinde chini, wenye watu zaidi ya Elfu mbili (2),katika Kijiji Cha kilimatinde kata ya moita wilayani monduli ulio kabidhiwa na mwekezaji wa kampuni ya Arusha art bwana Atesh ambae amewajengea wananchi wa eneo Hilo mradi huo ulio gharimu zaidi ya shilingi ml.30 za…
Karibu Arusha24Tv leo Juni 5 kutazama kilicho Andikwa katika magazeti ya leo ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24Tv . Mwisho .
Karibu Arusha24Tv leo Juni 4 Mwaka 2023 kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya leo ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv . Mwisho.
BRYSON MSHANA, TABORA Mashindano ya umoja wa Michezo na taaluma kwa wanafunzi wa Shule za Mshingi Tanzania (UMITASHUMTA) yamefunguliwa Mjini Tabora ambapo yanafanyika kitaifa na kuhusisha mikoa yote ya Tanzania. Mashindano hayo amabayo yanahusisha michezo mbalimbali yamefunguliwa Juni 03, 2023 na Naibu Katibu mkuu anayeshughulikia Elimu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR – TAMISEMI), Dr. Charles Msonde. Katika hotuba yake Dr. Charles Msonde amesisitiza juu uadilifu wakati wa michezo ya UMITASHUMTA mwaka huu wa 2023, ikiwepo udhibiti wa wanamichezo wasioruhusiwa (MAMLUKI) ili kuipa heshima sekta ya michezo mashuleni. Msonde amesisitiza juu kuzingatia miongozo iliyowekwa kwa…
Na Doreen Aloyce,Dodoma Kufuatia kifo cha aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) Marehemu Nusura Hassan ABdallah Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imetoa matokeo ya uchunguzi wa Kifo chake na kidai kwamba kilitokana na Kisukari Taarifa hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Tume hiyo ,Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu wakati alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari Jijini Dodoma na kusema kuwa kazi ya uchunguzi wa kifo hicho umekamilika kwa mujibu wa Kifungu cha 15(1)(a) cha Sheria ya THBUB, Sura ya 391, kinachoipa uwezo wa kuanzisha uchunguzi. Ambapo katika uchunguzi huo Jaji Mstaafu Mwaimu amebainisha maeneo yoye yaliyohisishwa…
Karibu Arusha 24Tv leo June 3, Mwaka 2023,Tunkukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania, Hii ni A23Tv . Mwisho .
Na Geofrey Stephen Arusha Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale ,serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Simai Mohammed Said amesema ni lazima utamaduni wa asili ikiwemo maajabu ya miti mbalimbali utangazwe ili kuvutia watalii wengi kufika nchini. Aidha alisisitiza ushirikiano uliopo baina ya nchi ya Tanzania na serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ili kutangaza zaidi vivutio vya utalii vilivyopo katika nchi hizo mbili. Hayo ameyasema wakati akifungua Maonyesho ya Utalii ya Karibu -Kill Fair 2023 yanayofanyika kwa siku ya tatu eneo la Viwanja vya Magereza Jijini Arusha. Alisema nchi ya Tanzania imefungua fursa za utalii kutokana na fursa iliyotangazwa kupitia filamu ya…
Ijumaa ya tarehe 2 Juni 2023 karibu Arusha24Tv kutazama kilicho Andikwa katika magazetibya leo ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv . Mwisho.
Ni Juni 1 Mwaka 2023 karibu Arusha 24tv kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya leo ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv . Mwisho.