Author: Geofrey Stephen

Na Pamela Mollel Arusha . Diwani wa Kata ya Baray Wilayani Karatu. Mhe Elitumain Magnus leo tarehe 25 March amechuku na kurejesha fomu ya kuwania nafasi ya Mjumbe wa NEC Mkoa wa Arusha. Elitumaini ni mtaalamu katika maswala ya uongozi na mahusiano ya jamii akiwa na shahada ya juu kutoka chuo kikuu cha Mzumbe. Kiongozi huyo ambaye kwa Sasa ni Diwani wa kata ya Baray Wilayani Karatu, amewahi pia kushika nyadhifa mbali mbali katika chama cha Mapinduzi Ikiwa ni pamoja na Mjumbe wa Kamati ya utekelezaji jumuiya ya vijana Wilaya ya Karatu na mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM mkoa…

Read More

Na Geofrey Stephen Arusha . Thomas Munisi akiwa katika Mavazi ya chama kikamanda zaidi  Kada wa chama chamapindhzi Ccm Thomas Munis maarufu kwa jina la Brigedia munisi achukua na kurejesha form ya kugombea nafasi ya halmashauri kuu ya Ccm Taifa (Nec) Munisi kwa sasa ni Mwenyekitii wa Ccm kata ya themi na ni Mjumbe wa halmashauri kuu ya Ccm wilaya ya Arusha ni mjumbe wa mkutano Mkuu Ccm Mkoa wa Arusha amekuwa Makamu mwenyekiti Taifa wa wafanyabiashara wa madini tanzania na ni mchimbaji na Mfanyabiashara maarufu wa madini na utali tanzania bara na Zanzibar. Munisi licha ya kujaza fomu yake…

Read More

Na Geofrey Stepben Mfanyabiashara Maarufu Jijini Arusha,Richard Poul maarufu kwa jina la Marcas amajitosa katika kinyang’anyiro cha kuwania nafasi Moja ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu{NEC} Mkoa wa Arusha akisema kuwa lengo lake kuu ni kuwaunganisha wanachama wa Chama Cha Mapinduzi{CCM} kuwa kitu kimoja na ili kiweze kuendelea kushika dola. Marca alisema na kuwataka wajumbe wa Uchaguzi kuangalia sifa za mgombea na kuacha mara moja kuchagua mgombea kwa rushwa kwani rushwa kwake ni adui wa haki na kamwe hawezi kufanya hivyo kwani anajiamini kuwa anatosha. Alisema na kusisitiza kuwa uchaguzi huo wa marudio uligubikwa na rushwa na ndio maana viongozi wa…

Read More

Na Mwandishi wa A24Tv .Arusha Ni katika Muendelezo wa Ziara ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Monduli Ndugu Kisioki Lengoje Moitiko Katika kata ya Moita ambayo Jumla ya vikundi vilivyopo katika kata hiyo ni 47. Akizungumza na Wanachama wa CCM na jumuiya zake ,ndugu Kisioki amesema lengo la ziara ni kushukuru baada ya kuchaguliwa na ni muendelezo wa ziara yake ambapo lengo kubwa ni kuwafikia wanachama wote , lakini pia kuwazesha Vikundi vya wanawake (vikundi,Vkoba) kiuchumi. “Niwashukuru sana wanamoita kwani kati ya kata nilizotembelea yenye wanachama hai Moita ni Miongoni, lakini pia kina mama nawashukuru sana vikundi viko vingi sijui…

Read More

Na Mwandishi wa A24tv . Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imepokea na kupitisha makadirio ya matumizi na maendeleo kwa mwaka wa fedha 2023/2024 kwa Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara pamoja na Taasisi zake. Aidha, Kamati hiyo imeishauri Serikali kuongeza uwigo wa bajeti kwa Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara hususani katika utafiti wa viwanda, utafutaji wa masoko ya bidhaa za Tanzania na uendelezaji wa miradi ya kimkakati na kieleezo ili iweze kitekeleza majikumu yake na kuendana na maendeleo yanayofanyika katika Sekta zinazozalisha malighafi za viwandani. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe.…

Read More