Author: Geofrey Stephen

Na Geofrey Stephen .Arusha Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imetoa amri ya kufika mahakamani kwa wajibu maombi kwenye kesi ya kulazimishwa kupotea ( Enforced disappearance), kwa mzee Oriais Oleng’iyo, (85) wa Ololosokwan, Loliondo katika Wilaya ya Ngorongoro Mkoani Arusha. Aidha kesi hiyo iliyokuja mahakamani kwa ajili kusikilizwa leo machi 22, mwaka ilishindwa kuendelea kutokana na mawakili wa wajibu maombi (Jamhuri ) kutoonekana mahakamani hapo. Amri hiyo ilitolewa na Jaji Mohamed Gwae anayesikiliza maombi hayo namba 68/2022 ambapo wajibu maombi kwenye shauri hilo ni pamoja na Mkuu wa Jeshi la Polisi, (IGP) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, , Mkuu…

Read More

Na mwandishi wetu,Dar es salaam Kada wa CCM Kata ya Jangwani Mohamed Fidahusein amesema miaka miwili ya utawala wa Rais Samia suluhu Hassan imejenga mikakati ya kukuza uchumi, uongozi bora na kuwapa heshima wanawake wa Tanzania na Afrika. Hayo yametamkwa na kada wa CCM kata ya jangwani Mohamed Fidahusein katika shina la CCM mtaa wa chui jijini Dar es Dar es salaam Fidahussein alisema utawala wa Rais samia kwa kipindi cha miaka miwili akiwa madarakani , amesimamia nidhamu ya kazi serikalini , kukomesha maonevu ,uzembe, manyanyaso na kusimamisha uongozi wa haki. Alisema kutokana na uchapakazi wake ni wazi kiongozi huyo…

Read More

Na Geofrey Stephen Arusha . Vigogo wamejitokeza kuwania nafasi za wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)Mkoa wa Arusha. Miongoni mwa waliojitokeza kuwania nafasi hizo ni Mbunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki(EALA) James ole Millya na wengine wanne ambao wamekwenda Ofisi ya  katibu wa CCM Mkoa Arusha  kimya kimya kukabidhiwa fomu na sekretari wa chama ambaye hakupenda kutaja jina lake baada ya Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha,Mussa Matoroka kuwa kwenye ziara ya Utelelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)Mkoani. Mbunge wa EALA James Ole Milya amizungumza na vyombo vya habari kuhusu Kuchukua fomu ya…

Read More

Mwandishi wetu wa A24Tv .Babati.Ongezeko la matukio ya ujangili wa Twiga na uvamizi katika eneo la Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori Burunge sasa litaanza kushughulikiwa kwa mbinu mpya kwa ushirikiano wa vyombo vya Dola,Wanasheria na Askari wa Burunge WMA. Matukio ya ujangili wa Twiga,ukataji miti na uvamizi maeneo yaliyohifadhiwa yameongezeka katika eneo hilo ambapo hivi karibuni watu wawili walikamatwa kwa tuhuma za mauwaji ya Twiga ili kufanya biashara ya nyama. Burunge WMA ni eneo la hifadhi lililopo katikati ya hifadhi za Taifa za Manyara na Tarangire likiwa na ukubwa wa kilomita za mraba 283 likiundwa na Vijiji 10 na licha…

Read More

Na Geofrey Ste,Arusha Jiji la Arusha limetoa mikopo ya asilimia kumi ya sh,bilioni 2.656 Kwa vikundi 169 kwaajili ya makundi ya wanawake,vijana na watu wenye ulemavu Aidha Watu wenye ulemavu wanaruhusiwa kukopa mikopo hiyo bila kuwa na kikundi na dirisha lipo wazi na kusisitiza Jiji litaendelea kutoa mikopo kwa njia ya mtandao ili kupata takwimu sahihi za wanufaika. Akishuhudia zoezi la utoaji mikopo hiyo ya asilimia 10 kwa wanawake,vijana na watu wenye ulemavu,Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Felician Mtahengerwa amesisitiza wanaopewa mikopo kuwa wafanyabiashara wenye ubunifu na kuacha biashara za mazoea. Dc Mtahengerwa alisisitiza endapo wapewaji mikopo hiyo wakiwa wabunifu…

Read More

Na Mwandishi wa A24Tv Mirerani Hatima ya Mfanyabiashara Maarufu Jijini Arusha,Joel Mollel maarufu kwa jina la Saitoti itajulikana march 24 mwaka huu baada ya timu ya Wataalamu kutoka Chuo Cha Madini Mkoani Dodoma kukabidhi taarifa ya Mgogoro wa madini ya Tanzanite kilo 4 yenye thamani ya mamilioni ya pesa yanayodaiwa kuchimbwa kinyemela{Bomu} katika Mgodi wa Kitalu C Mirerani Mgodi unaomilikiwa na Serikali na Mwekezaji Mzawa Onesmo Mbise. Saitoti Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Gem & Rock Venture unaochimba mgodi wa Tanzanite Kitalu B anatuhumiwa kuchimba Bomu katika mgodi wa Kitalu C na kufanikiwa kupora madini ya kiasi cha kilo…

Read More

Na Mwandishi wa A24tv Dodoma Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Biashara imeishauri Serikali kuongeza uwigo wa bajeti kwa wizara ya uwekezaji viwanda na biashara ili iweze kutekeleza majukumu yake ipasavyo hususani utafiti wa viwanda ambao ndio nguzo ya maendeleo ya uchumi wa viwanda nchini. Aidha, Kamati hiyo imeishauri Wizara hiyo kuweka Mipango Mikakati ya utekelezaji wa miradi ya kimkakati na ya kielelezo huusani Mradi wa Liganga na Mchuchuma ili kutekeleza miradi hiyo yenye manufaa makubwa katika maendeleo ya kiuchumi ya taifa kwa wakati. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Kikao cha Kamati hiyo cha Machi 21,…

Read More

Na Doreen Aloyce, Dodoma MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana amewataka viongozi wa chama hicho kuyasemea mambo mazuri yanayofanywa na serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dk.Samia Suluhu Hassan katika maeneo yao. Kinana ameyasema hayo jijini hapa jana,wakati akifungua Mfunzo ya siku mbili ya viongozi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kuanzia ngazi ya Taifa hadi Wilaya. “Katika maeneo yenu hakikisheni mnakisemea chama na mafanikio yaliyopatikana chini ya uongozi wa Rais Dk.Samia,na wala msione haya kusema ili wananchi wajue na hata katika chaguzi zijazo tusipate shida. Ameongeza kuwa:”Chini ya uongozi wa Rais Dk.Samia…

Read More