Author: Geofrey Stephen

Na Geofrey Stephen . A24TV Ni historia kubwa sana kwa mwanamke Pendronila Masi Maarufu kama  (Masipeti ) kuacha kazi yake ya maana na kukimbilia kufanya kazi ya kusaidia  kuudumia watanzania. Niliamua kuacha kazi mimi monyewe kustaafu kwa umri wangu  mdogo wakati nilikua nalipwa fedha nzuri tu  nikaona sintaweza kufikia malengo yangu na baadae nikaanzisha  biashara  mpya  mtandaoni kusaidia watanzania wenzangu na wengine nje ya watanzania Mwanamke uyu akizungumza na vyombo vya habari juu ya yeye kuusishwa na swala zima la kua free mason kutokana na maendeleo aliyo nayo ya araka na pesa nyingi kwa biashara yake ya mtandaoni ya kusaidia…

Read More

Na Richard Mrusha Mkurugenzi wa mgodi wa Igalula na shabiki wa kilabu ya Yanga Bwana Husein Makubi (Mwananyanzala ) amejitokeza hadharani na kusema yuko tayari kumsapoti Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania dkt Samia Suluhu Hassan. kwa kutoa kiasi cha fedha taslimu shilingi laki tano kwa kila goli kwenye vilabu viwili yanga na simba vinavyoshiriki kwenye michuano ambapo simba inashiriki ligi ya mabingwa Afrika na Yanga inashiriki michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika. Mwananyanzara amesema amefanya hivyo ili kuwapa hamasa vijana piandi wawapo uwanjani wajitume kwa bidii ili waweze kuleta ushindi Nimeamua kumunga mkono Rais kwa kuwa…

Read More

Na John Mhala,Mirerani Mwenyekiti wa Kamati Maalumu ya Kitaifa ya Madini ya Tanzanite,Yusuph Money amesema kuwa serikali haikufanya makosa kwa uamuzi wake wa madini ya Tanzanite ambayo hayajasanifiwa{rafu} kuuzwa katika Mji wa Mirerani kwani ilizingatia vitu vingi vya msingi hadi kufikia hatua hiyo. Money alisema hayo jana katika Mji wa Mirerani mara baada ya kumalizika kwa Mkutano wa hadhara uliokuwa ukihutubiwa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi{CCM},Daniel Chongolo aliyefanya ziara katika Mji huo wenye historia kubwa nchini na kusema kuwa wanaolazimiasha Madini ya Tanzanite rafu yauzwe nje ya Mirerani hawana hoja za msingi kwani wanachukulia uamuzi huo kisiasa. Alisema…

Read More

Doreen Aloyce , Dodoma KATIKA kuboresha sekta ya usafiri majini Shirika la Uwakala wa meli Tanzania (TASAC) imeweza Kuunda nyenzo za udhibiti wa huduma za usafiri kwa njia ya maji pamoja na kukamilisha mradi wa kimataifa wa mawasiliano na uchukuzi katika Ziwa Victoria ambao utagharimu bilioni 59.23. Akizungumza na vyombo vya Habari jijini Dodoma juu ya utekelezaji wa Majukumu wa shirika hilo kwa awamu ya sita Mkurugenzi Mkuu wa TASAC Kaimu Mkeyenge amesema tangu kuanzishwa kwake inajivunia mambo mengi sana hususan juhudi za Serikali katika kuboresha sekta ya maji. Amesema, mradi huo unaotekelezwa na nchi za Tanzania na Uganda…

Read More

Na Doreen Aloyce, Dodoma IMEELEZWA kuwa Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa kazi kuhusu usajili wa sehemu za kazi pamoja na kuboresha mazingira ya uwekezaji na biashara nchini imebainika uwepo wa ada ambazo zilikuwa zinaongeza gharama za uendeshaji na kuchangia sehemu nyingi za kazi kutokidhi matakwa ya Sheria na kufifisha ushindani wao kibiashara. Aidha Osha ilipendekeza ada hizo kupunguzwa ama kufutwa ambapo Mhe. Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan aliridhia ada hizo kufanyiwa marekebisho kwa kuondoa na kupunguza jumla ya Ada / Tozo kumi na tatu 13. Hayo yamebainishwa na Mtendaji Mkuu wa Wakala…

Read More