Karibu Arusha 24Tv leo jumatatu April 10 mwaka 2023 kutazama kilicho andikwa katika magazetibya leo ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni 24tv .
Author: Geofrey Stephen
Karibu Arusha 24Tv leo April 9 ,2023 kutazama kilicho andikwa katika magazeti ya leo ya Tanzania Hii ni A24tv . Mwisho
Mwandishi wetu,Mwanza. Chama Cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania (JOWUTA) kimetangaza kushirikiana na Kituo Cha Sheria na Haki za Binaadamu (LHRC) kuwasaidia wafanyakazi 195 wa kampuni ya Sahara Media kudai kulipwa malimbikizo ya madai ya mishahara yao kiasi cha sh 3.5 bilioni. Uamuzi huo,umetangazwa Jana na Mwenyekiti wa JOWUTA Taifa,Mussa Juma na Mjumbe wa bodi ya udhamini wa JOWUTA,Mutta Robert katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika ukumbi wa chama cha ushirika Nyanza.baada ya kukutana na pande zote katika mgogoro huo. Juma amesema baada ya majadiliano baina ya wafanyakazi wa kampuni hiyo na ofisi ya Idara ya kazi mkoa…
Karibu Arusha 24Tv leo April 8 ,2023 kutazama kilicho Andikwa katika Magazetibya leo ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24Tv .
Ikiwa leo ni ijumaa kuu kwa wakristo kote nchini kanisa la Kkkt Usharika wa Salei Jijini Arusha umeadhimisha ibada iyo kwa vijana kufanya igizo la mateso ya Yesu live kuanzia Mwanzo mpaka mwisho A24Tv ilikua ibadani hapo kufuatilia matukio yote na hapa ni picha za matukio ya igizo la bwana Yesu Bwana Yesu wakati wa igizo akiwa amepanda mwana Punda tayari kwa safari ya kuelekea Yerusalem Picha za igizo la bwana Yesu akiwa ameingia mji wa Yerusalem akiwa na wanafunzi wake na kuanza kuwafundisha masomo gafla wazee wa baraza waka mvamia katika mafundisho yake. Wazee wa Baraza wakimuuliza yesu…
Na Geofrey Stephen .Arusha Vijana wabunifu wameagizwa kutengeneza bidhaa zenye mahitaji sokoni ili kuwa na ubora zaidi utakaowawezesha kupata masoko na kuweza kujiajiri katika soko la ndani . Agizo hilo limetolewa katika Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) na Meneja wa Shirika la Viwanda Vidogo(Sido) ,Jafari Donge wakati wa kufunga mafunzo ya wiki ya ujasiriamali na ubunifu yaliyofanyika chuoni hapo. Alisema vijana wengi wanatengeneza bidhaa mbalimbali na serikali inatoa fedha kwaajili ya kuendeleza bunifu zao hivyo ni vema sasa wabunifu vijana wakatengeneza bunifu zenye mahitaji sokoni ili kujikwamua kiuchumi. Alisema Sido na chuo hicho wanashirikiana katika kuhakikisha wabunifu wanatumia ziatamizi vilivyopo…
Karibu Arusha24Tv kutazama kilicho Andikwa Katika Magazeti ya leo ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv.
Karibu Arusha 24Tv leo April 6 Mwaka 2023 kutazama kilicho andikwa katika magazeti ya leo ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv .
Na Mwandishi wa A24Tv Sabaya achiwa huru mama yake mzazi amwaga machozi nje ya mahakama ALIYEWAHI kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya, leo April 5, 2023 ameachiliwa huru na mahakama baada ya kufutiwa mashtaka saba yaliyokuwa yakimkabili, ikiwemo uhujumu uchumi, matumizi mabaya ya madaraka na kuongoza genge la uhalifu. Mahakama imetoa uamuzi wa Lengai Ole Sabaya kulipa kiasi cha shilingi milioni 5 kama fidia kwa mwathirika na hapaswi kufanya kosa lolote la jinai kwa muda wa mwaka mmoja. Sabaya ambaye mapema asubuhi ya leo alifika kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Moshi, kabla uamuzi wa kuachiwa…
Na Geofrey Stephen ,Arusha Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa Arusha wamemchagua Namelok Sokoine kuwa Mwakilishi wa Mkoa huo katika nafasi ya NEC Mkoa Kuwasilisha Chama hicho Taifa. Akitangaza Matokeo hayo,Waziri Mkuu Mtaafu,Mizengo Pinda alimtakaza Sokoine kwa kuongoza na kupata kura 39 na kumwangusha mpinzani wake wa karibu Mfanyabiashara Hussein Gonga aliyeambulia kura 16. Pinda alisema kuwa wajumbe waliopiga kura walikuwa 67 na nafasi ya tatu Daniel Palangyo aliyetetea nafasi ya NEC kwa kupata kura 5,nafasi ya Judith Mollel alipata kura 3,Elibahati Lowassa na David Lemilla walioambulia kura 2 na wagombea wengine Novatus Makunga,Prf Samweli Ilila…