Author: Geofrey Stephen

Mwandishi wetu,Longido Shirika la Wanahabari la usaidizi wa.jamii za pembezoni(MAIPAC) linatajia kuzindua mradi kabambe wa kuelimisha juu ya athari za ukeketaji kwa watoto wa kike katika jamii ya kifugaji ya kimasai ikiwa ni pamoja na kuwajengea wanawake uwezo wa kutetea haki zao. Mradi huo unafadhiliwa na shirika la Cultural Survival na unatarajiwa kusaidia pia kupaza sauti za vijana wanaopinga vitendo vya ukeketaji. Mkurugenzi wa Shirika la MAIPAC Mussa Juma alitoa taarifa hiyo katika ziara iliyofanywa na Asasi za kirai katika wiki ya Asasi hizo iliyofanyika wilayani Longido . “MAIPAC imebaini kuwa watoto wa miaka miwili hukeketwa katika Jamii ya…

Read More

Na Mwandishi  wa A24tv Arusha. Serikali imefanikiwa kupokea vifaa tiba vyenye thamani ya Shilingi milioni 6.5 kutoka kwa Benki ya NMB kwa ajili ya kusaidia utoaji wa huduma za afya kwa wagonjwa. Vifaa hivyo ni mashuka 100, viti mwendo (2) chuma za kutundikia dripu (5) pamoja na Vitanda na magodoro (8) ikiwemo vitanda vitano vya kulaza wagonjwa na vitatu vya kuwapumzisha kwa ajili ya vipimo. Akizungumza wakati wa kukabidhi msaada huo Wilayani Monduli, Mkuu wa Idara ya Huduma za Kibenki kwa Serikali na Ofisi ya Makao Makuu ndogo ya NMB-Dodoma, Vicky Bishubo amesema, lengo la msaada huo ni…

Read More

Na bahati Hai. wanaotoa vibali vya ukataji mit Wilayani i Hai waonywe kuchochea uharibifu wa mazingira Jumuhiya ya watumia maji na uhifadhi wa mazingira mto Kware Wilayani Hai mkoani Kilimanjaro ,wamesikitishwa na utoaji wa vibali vya kukata miti bila kufuata utaratibu hivyo kuhujumu harakati za kutunza mazingira. Hatua hiyo imekuja baada ya Jumuhiya hiyo kubaini miti kadhaa ikiwamo miruka na miringaringa imekatwa katika chanzo cha maji mto Kishenge kitongoji cha Maiputa Kata ya Masama Magharibi pembezoni wa Bondo la mama sawa,uku kibali kikionekana kutoka ofisi moja ya Serikali Wilayani humo. Mwenyekiti wa Jumuhiya hiyo, Wilfred Masawe ,akizungumza na waandishi…

Read More

Na Mwandishi wetu Tanga Mkuu wa Wilaya ya Tanga Mhe. Japhari Kubecha ametoa wito kwa Halmashauri ya Jiji la Tanga ◦ na mamlaka ya mapato (TRA) kufanya kazi kwa pamoja ikiwa ni pamoja na kuwezesha mifumo isomane ili kuokoa muda kwa wafanyabiashara. ◦ ◦ Mhe. Kubecha amesema hayo leo katika kikao cha wadau na wafanyabiashara ambapo amesikiliza kero mbalimbali za wafanyabiashara, wasafirishaji, wakulima, bodaboda, wadau wa viwanda, pamoja na wenyeviti wa masoko ya Jiji la Tanga. ◦ Kubecha amemwagiza Afisa Maendeleo ya Jamii Bw.Simon Mdende kutoa elimu kwa ◦ wafanyabiashara wadogo wadogo juu ya upatikanaji wa kitambulisho cha mfanyabiasha ◦○…

Read More

MWENYEKITI wa Kamati ya Usuluhishi na Usalama katika Migodi ya Tanzanite iliyopo katika Mji wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara,Charles Chilala amewataka wamiliki wa migodi hiyo kuheshimu maamuzi ya kamati pindi wanapoamua migogoro wa kuingiliana ndani ya migodi {Mitobozano} lengo ni kulinda amani na usalama mgodini. Chilala ameyasema hayo baada ya kupata malalamiko kutoka kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Njake Enterprises and Oil Transport inayechimba madini ya Tanzanite katika kitalu B Mirerani ,Japhet Lema kwa kuilalamikia kampuni ya Gem & Rock Venture inayo milikiwa na Joel Mollel maarufu kwa jina la (Saitoti)  kwani septemba 2 mwaka huu wafanyakazi wa kampuni…

Read More