Karibu Arusha 24tv leo tarehe 22 mwezi marchi 2023 kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya leo ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv .
Author: Geofrey Stephen
Na Doreen Aloyce, Dodoma MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana amewataka viongozi wa chama hicho kuyasemea mambo mazuri yanayofanywa na serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dk.Samia Suluhu Hassan katika maeneo yao. Kinana ameyasema hayo jijini hapa jana,wakati akifungua Mfunzo ya siku mbili ya viongozi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kuanzia ngazi ya Taifa hadi Wilaya. “Katika maeneo yenu hakikisheni mnakisemea chama na mafanikio yaliyopatikana chini ya uongozi wa Rais Dk.Samia,na wala msione haya kusema ili wananchi wajue na hata katika chaguzi zijazo tusipate shida. Ameongeza kuwa:”Chini ya uongozi wa Rais Dk.Samia…
Karibu Arusha 24Tv leo tarehe 21 Marchi 2023 kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya leo ya Tanzania Hii ni A24Tv .
Na Mwandishi wet Arusha Mgodi wa Madini ya Tanzanite wa Gem & Rock Venture Uliopo Kitalu B Mirerani Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara umefungwa kuendesha shughuli za uchimbaji na Wizara ya Madini baada kukaidi Mara mbili kuamuriwa kusitisha shughuli za uchimba pale ulipolalamikiwa na Kampuni ya Franone inayochimba Mgodi wa Kitalu C kwa kushirikiana na serikali Kama mbia Mwenza. Mbali ya Hilo Watalaamu wa Chuo Cha Madini Mkoani Dodoma wanaotarajiwa kuwasili leo Jijini Arusha kupima Madini yaliyokamatwa katika vurugu hizo Kama ni Mali ya Kitalu B au C na hiyo ndio itaondoa utata kwa pande zote juu ya kukamatwa kwa…
Karibu Arusha 24 tv kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya leo tarehe 20 mwezi Marchi mwaka 2023 mbele na nyuma Hii ni A24tv
Karibu Arusha 24Tv leo Jumapikibya tarehe 19 Mwezi March 2023 kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya leo ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv .
Na Mwandishi wetu ,Simanjiro Mfanyabiashara Maarufu wa Madini ya Tanzanite Jiji la Arusha Joel Mollel Maarufu kwa jina la Saitoti ambaye pia ni Mkurugenzi wa kampuni ya Gem & Rock Venture na wenzake saba wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara kujibu Mashtaka mawili ya shambulio na kukaidi amri ya Wizara ya Madini katika tukio lililotokea march 13 mwaka huu katika Mgodi wa Kitalu C inayomilikiwa na serikali na Mwekezaji Mzawa Onesmo Mbise. Wakisomewa Mashitaka na Mwendesha Mashitka wa Polisi, Mosses Hamilton Mbele ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Simanjiro, Charles Uiso ilidaiwa kuwa katika…
Leo Marchi 17 2023,Tuna kukaribisha kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya leo ya Tanzania Mbele na Nyuma Hii ni A24Tv .
Na Richard Mrusha Chunya mbeya. MAMLAKA ya mapato Tanzania TRA Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya imesema kuwa asilimia kubwa ya mapato katika Wilaya hiyo yanatokana na Madini ambapo wachimbaji wadogo wamekuwa na uelewa mpana juu ya kifaa kinachotumika katika kurahisisha ukusanyanji wa taarifa za raslimali hizo. Hayo yamesemwa na kaimu Meneja wa Mamlaka hiyo Osmund Mbilinyi wakati akizungumza kwenye maonesho ya kwanza ya teknolojia ya Madini yanayoendelea kwenye viwanja vya Sinjiriri katika Mkoa wa Kimadini Chunya. Aidha kaimu meneja huyo amesema kuwa lengo kubwa la kuwapo kwenye eneo la maonesho ni kuhakikisha kuwa wanaendelea kutoa elimu kwa wachimbaji pamoja na…
Na Mwandishi wa A24Tv . Wizara ya Madini imefanikiwa kutaifisha madini ya Tanzanite yenye uzito wa kilo 4 yenye thamani ya mamilioni ya fedha kutoka kwa Meneja wa Mgodi wa Gem & Rock Venture,Joel Mollel Maarufu kwa jina la Saitoti aliyevamia na kuchimba katika mgodi wa kitalu C unaomilikiwa na serikali na mwekezaji mzawa Onesmo Mbise. Hayo yalisemwa na Afisa Mfawidhi Wizara ya Madini Mkoa wa Manyara,Mernad Msengi na kusemsa kuwa thamani halisi bado haijajulikana ya madini hayo ya Tanzanite yaliyochimbwa kwa njia haramu na Saitoti akiwa na wafanyakazi wake walioingia kitalu C marchi 12 mwaka huu majira ya saa 6.30…