Author: Geofrey Stephen

Na Geofrey stephen Arusha . Mwili wa Emmanuel Mollel ambaye ni baba wa mfanyabiashara maarufu Mkoani Arusha na Manyara umezikwa kwenyw kijiji cha Marurani wilayani Arumeru Mkoani Arusha huku maelfu ya watu wakijitokeza. Joel Saitoti ni mfanyabiashara maarufu wa madini Mkoani Arusha na Manyara na mmiliki wa kampuni za uchimbaji wa madini ya Tanzanite Azo Africa Limited na Germ and Rock Ventures Viongozi mbalimbali wakiwemo wa serikali,wananchi wachimbaji wa madini zaidi ya elfu tatu walishiriki kwenye mazishi hayo kutokana na umaarufu wa mfanyabiashata huyo pamoja na baba yake Viongozi wa serikali na chama waliofika msibani hapo wamesema kwamba jamii…

Read More

Na Geofrey Stephen Arusha RUFAA YA wananchi wa vijiji vinne vya kata  Ololosokwan kwenye tarafa ya  Loliondo wametinga kwenye Mahakama ya Rufaa ya Afrika Mashariki, (EACJ) mbele ya majaji watano wakiongozwa na Rais wa mahakama hiyo, jaji, Nestor Kayobera ambapo kuna mambo manne yanayobishaniwa. Rufaa hiyo imefika mahakamani hapo leo Februari 6, 2023 kwa ajili ya kupangiwa utaratibu wa kusikilizwa ambapo mahakama hiyo imewataka mawakili wa waleta rufaa kuwasilisha hoja zao za rufaa za maandishi ndani ya siku 30 mpaka Machi 6, 2023. Mawakili wa mjibu maombi ambaye ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali, (AG) wametakiwa kuwasilisha hoja zao majibu ndani…

Read More

Na Geofrey Stephen ROMBO   MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu ameongoza waombolezaji wilayani Rombo Mkoani Kilimanjaro, kutoa heshima za mwisho kwa miili 12 kati ya 14 ya familia moja waliofariki kwa ajali mkoani Tanga huku ndugu na jamaa wakishindwa kujizuia na kuangua vilio na baadhi yao kuzimia . Hata hivyo majeneza hayo hayakuruhusiwa  kufunguliwa ili kutoa fursa kwa ndugu na jamaa kuaga Sura za wapendwa wao kutokana na miili hiyo kuharibika . Ajali hiyo ilitokea Februari 4,  katika eneo la Magira Gereza, wilayani Korogwe, barabara ya Segera – Buiko na kusababisha vifo vya watu 21 mpaka sasa wakati gari…

Read More

Na Geofrey Stephen Arusha . SERIKALI YA JAMUHURI YA KOREA KUSINI IMEANZA KUWANOA WATANZANIA KUPITIA CHUO CHA UFUNDI ARUSHA(ATC) JUU YA kUTENGENEZA PIKIPIKI INAYOTUMIA UMEME WA BETRY ILI KUPUNGUZA GHARAMA YA UENDESHAJI KWA WAMILIKI WA VYOMBO HIVYO NA KUONGEZA AJIRA KWA VIJANA NCHINI. PROGRAMU HIYO INATEKELEZWA NA CHUO KIKUU SOUL,HANYANI KWA KUSHIRIKIANA NA CHUO CHA UFUNDI ARUSHA AMBAPO WANAFUNZI SABA WA (ATC) WAMEENDA KOREA KUSINI KUCHUKUA UJUZI IKIWA WAMESHATENGENEZA PIKIPIKI KWA AJILI YA KUANZISHA KIWANDA JIJINI ARUSHA. MKUU WA MKOA WA ARUSHA, JOHN MONGELA AKISHUHUDIA PIKIPIKI HIYO ILIYOTENGEZWA NA BAADHI YA WANAFUNZI WA CHUO CHA ATC AMESEMA LENGO LA USHIRIKIANO…

Read More

Na Richard Mrusha Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam CPA Amos Makala leo februari 3,2023 amewakabidhi viongozi wa 12 tiketi za ndege kwenda nchni Rwanda kwa ziara ya mafunzo makabidhiano ya tiketi hizo yamefanyika katika ukumbi wa Dmdp ilala jijini Dar es salaam. Pia Makala akachukua nafasi hiyo kuishukuru Benki ya NMB kwa kuwawezesha kupata tiketi za ndege 12 kwa viongozi wa 5 ambao ni wa wafanya biashara ndogo ndogo (Machinga) na 5 kwa viongozi wa bodaboda na mbili zikatolewa kwa wataalamu tiketi hizo ni za kwenda na kurudi. Amesema viongozi hao wanatalajia kusafiri Feb 6,2023 kuelekea nchini Rwanda…

Read More