Author: Geofrey Stephen

Na Doreen Aloyce Serikali imetakiwa kuwawezesha wanawake hususani kwenye kilimo kwa kuwapatia teknolojia za kisasa za kilimo mbalimbali zinazoweza kupunguza athari ya mabadiliko ya Hali ya hewa ambazo zitasaidia kuinua kipato chao na Taifa kwa ujumla. Hayo yamebainishwa jijini Dodoma na Dr. Mkupete Jaah ambaye ni Mhadhiri Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kampus ya Mkwawa Idara ya uchumi wakati alipokuwa Kwenye mkutano na wadau wa kilimo kuwasilisha tafiti zilizofanywa juu ya Athari za hali ya hewa kwenye kilimo na jinsi gani ya kukabiliana nazo. Pia tafiti hiyo imeonesha kwamba upatikanaji na utumiaji wa techologia za kilimo zina uwezo mkubwa…

Read More

Na Mwandishi wa A24Tv. Mkuu mpya wa wilaya ya Ludewa ameapishwa rasmi leo na mkuu wa mkoa wa Njombe Antony Mtaka huku akiomba ushirikiano katika kutekeleza majukumu yake hayo mapya. Mheshimiwa Mwanziva ameteuliwa na Rais wa Tanzania siku chache zilizopita akiwa Katibu wa hamasa na chipukizi CCM Taifa ambapo amesema Madini ya chuma Liganga na makaa ya mawe mchuchuma ndio agenda kubwa anayokwenda kushughulikia Aidha Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Ludewa Andrea Tsere amesema uongozi ni kama mchezo wa vijiti wa kupokezana hivyo yeye alikuwa wa DC wa 16 na amemwachia Mwanziva. Kwa upande wake mwenyekiti wa CCM mkoa wa…

Read More

Mwandishi wetu,Dodoma Chama wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania(JOWUTA) kimepata viongozi wapya ambao wataongoza chama hicho kwa miaka mitatu katika mkutano Mkuu uliofanyika hoteli ya Morena jijini Dodoma. Viongozi wapya wa chama hicho,wamechagukiwa juzi katika mkutano Mkuu wa JOWUTA ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Technolojia ya habari,Mhandisi Kundo Methew. Viongozi wengine waliohudhuria ni Msajili wa vyama vya wafanyakazi nchini,Pendo Perega ,Afisa Kazi Mwandamizi kutoka Ofisi ya Kamishna wa kazi Makao makuu Dodoma, Honesta Ngolly ,Naibu Mkurugenzi Idara ya habari ya Maelezo, Rodney Thadeus. na Mkurugenzi wa umoja wa klabu za waandishi wa habari nchini(UTPC)…

Read More

Mwandishi wetu, MAIPAC Arusha.Shirika la Kimataifa la Freedom la House , limeahidi kufanya kazi la taasisi ya Wanahabari ya kusaidia jamii za Pembezoni (MAIPAC) Ili kutekeleza mpango mkakati wake wa miaka miaka mitano 2020-2025. Mpango huo wa Maipac (strategic plan) unalenga kusaidia jamii hizo kuchochea maendeleo na kuwezesha wanahabari kuifikia kufanya habari za uchunguzi Ili kutatua changamoto kadhaa ukatili wa kijinsia masuala ya Mazingira na Ushiriki katika masuala ya Kidemokrasia na Utawala bora Maipac kwa Sasa inatekeleza mradi wa uhifadhi mazingira,vyanzo vya maji na misitu kwa maarifa ya asili ambao unaofadhiliwa na shirika la maendeleo la umoja wa mataifa…

Read More