Karibu Arusha 24Tv leo tarehe 8 mwezi marchi kutazama kilicho andikwa katika magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv .
Author: Geofrey Stephen
Na Doreen Aloyce, Dodoma IMEELEZWA kuwa Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa kazi kuhusu usajili wa sehemu za kazi pamoja na kuboresha mazingira ya uwekezaji na biashara nchini imebainika uwepo wa ada ambazo zilikuwa zinaongeza gharama za uendeshaji na kuchangia sehemu nyingi za kazi kutokidhi matakwa ya Sheria na kufifisha ushindani wao kibiashara. Aidha Osha ilipendekeza ada hizo kupunguzwa ama kufutwa ambapo Mhe. Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan aliridhia ada hizo kufanyiwa marekebisho kwa kuondoa na kupunguza jumla ya Ada / Tozo kumi na tatu 13. Hayo yamebainishwa na Mtendaji Mkuu wa Wakala…
Karibu Arusha 24Tv kutazama kilicho Andikwa katika magazeti ya leo tarehe 07 mwezi marchi 2023 mbele na nyuma ya magazeti Hii ni A24tv Mwisho .
Karibu Arusha 24Tv leo tarehe 06 mwezi March kutazama kilicho andikwa katika magazeti ya leo ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv .
Na Mwandishi wa A24Tv . Waziri wa kilimo Nchini Husein Bashe ameagiza kukamatwa kwa Mshindo Mbete msola Meneja mauzo kampuni ya mbolea ya Minjingu na Meneja wa kanda wa nyanda za juu kusini wa mamlaka ya kudhibiti mbolea Tanzania TFRA baada ya kukamatwa kwa mifiko 776 ya mbolea iyojazwa mchanga tayari kwa kuwauzia wakulima Njombe. Kamati ya Ulinzi na usalama Mkoa wa Njombe wamefanikiwa kukamata shehena hiyo ya mifuko 776 uliyo jazwa mchanga mithili ya mbolea ya minjingu tayari kwa kuwauzia wakulima mkoa wa Njombe. Mshindo Msolwa ambaye Meneja mauzo wa mbolea za Minjingu ni miongoni mwa viongozi walio agizwa…
Na John Walter-Manyara Kufuatia kuanza ugawaji mahindi ya msaada wilayani Babati mkoani Manyara ili kupunguza makali ya njaa kutokana na upungufu wa chakula kwa wananchi uliosababishwa ukame, mfanyabiashara mmoja mkoani hapa, anadaiwa kushikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kukutwa na mifuko 42 yenye ujazo wa kilo hamsini kwa kila mfuko. Hayo yamesemwa na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi kata ya Maisaka ambapo wamesema taarifa hizo walizipata kutoka kwa raia wema ambapo baada ya kufuatilia wakiwa na polisi walikuta mahindi hayo kwenye nyumba ya mwananchi mmoja eneo la Changarawe majira ya saamoja Usiku Machi 4,2023. Katibu wa CCM kata ya Maisaka…
Makao Makuu ya Tanzania Labour Party yalioko Magomeni usalama. Wanachama wa chama cha Tanzania Labour Party wanatarajia kumpata mwenyekiti mpya atakaye kiongoza chama hicho mpaka mwaka 2025 kabla ya mkutano mkuu kufanyika Rasmi kumpata mwenyekiti Mpya Uchaguzi huo utafanyika kesho tahe 06 mwezi wa 3 mwaka huu wa 2023 mara baada ya aliyekua mwenyekiti wa Tlp Mh Mrema kufariki Dunia mwaka jana mwezi wa nane 2022 uchaguzi huo unatarajia kutafanyika katika ukumbi wa mikutano ya Hotel ya Lego Hotel iliopo Sinza Jijini Dar es Salaam kuanzia majira saa tatu Asubui. Wanachama kutoka Mikoa yote Tanzania bara na Visiwani zaidi…
Karibu Arusha 24Tv leo Tarehe 5 Mwezi March 2023 kutazama kilicho Andikwa katkka Magazeti ya leo ya Tanzania mbele na nyuma hii ni A24Tv
Karibu Arusha 24Tv leo Tarehe 4 March 2023 kutazama kilicho Andikwa Katika Magazeti ya leo ya Tanzania Mbele na Nyuma Hii ni A24Tv .
Na Geofrey Stephen Longido ,Arusha Watumishi 12 wa Halmashauri ya Wilaya ya Longido Mkoani Arusha wametakiwa kukaa pembani kupisha uchunguzi wa tuhumiwa ya ubadhilifu wa zaidi ya shilingi milioni 150 wakiwemo wakuu wa idara nne ambao tayari wametelemshwa vyeo. Kwa mujibu wa taarifa ya Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi{CCM} iliyosomwa na Katibu Mwenezi wa Chama, Solomoni Lekui na kuthibitishwa na Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo,Saimon Oitesoi ilisema kuwa hatua hiyo ni kufuatia taarifa ya ukaguzi ya mwaka 2021. Lekui aliwaeleza waandishi Habari kuwa mbali ya ubadhilifu watumishi hao walikuwa wakifanya mambo kinyume na utaratibu na kutumia vibaya madaraka yao…