Na Geofrey Stephen Arusha Wadau wa Tehama mkoani Arusha wametakiwa kutoa ushirikiano wa kutosha ili.kufanikisha uwepo wa kituo cha ubunifu wa Tehama kinachotarajiwa kuanzishwa mkoani Arusha hivi karibuni. Akizungumza katika ufunguzi huo leo jijini Arusha Kaimu Katibu Tawala msaidizi Daniel Loiruck amesema kuwa uwepo wa kituo hicho utaongeza chachu kubwa kwa vijana katika kuendeleza bunifu zao kupitia Tehama na kujulikana kimataifa zaidi. Amesema kuwa ,uwepo wa vituo hivyo utasaidia sana kuibua vituo vya ubunifu kwa vijana kutoka katika halmashauri Ili kufungua fursa zakiuchumi kupitia Tehama. Kwa upande wake Mkurugenzi mkuu wa Tume ya Tehama Dr Nkundwe mwasaga amesema kutokana na…
Author: Geofrey Stephen
Doreen Aloyce, Dodoma. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule ameipongeza Mamlaka ya Hifadhi za Taifa Tanapa Dodoma kwa jitihada za kuunga juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan kuutangaza utalii wa ndani hapa nchini ambao umepelekea wananchi kuwa na mwitikio kutembelea vivutio mbalimbali. Kauli hiyo ameitoa jijini Dodoma wakati alipokuwa akiwaaga wadau wa utalii kutoka sehemu mbalimbali wakielekea kutembelea mashamba ya Zabibu kijiji cha Nkulabi kilichopo nje kidogo na mji wa Dodoma ambapo ziara hiyo imeandaliwa na Hifadhi za Tanapa Dodoma kwa kushirikiana na Taasisi ya Dodoma Wine Festival. Senyamule amesema kuwa uongozi wa Tanapa Dodoma wamekuwa kielelezo kutangaza vivutio…
Karibu Arusha24Tv leo tarehe 28 Mwezi wa Pili kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya leobya Tanzania mbele na nhuma Hii nibA24tv
Na Mwandishi wa A24Tv . Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya watu wa China zimeahidi kuendeleza uhusiano wa kibiashara baina ya nchi hizo kwa kuzingatia misingi ya uhusiano na ushirikiano wa kirafiki uliokuwepo tangu mwaka 1961 ili kuenzi mazuri yaliyofanywa na waasisi wa nchi zote mbili walioanzisha uhusiano huo. Hayo yalisemwa na Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji(Mb.) alipokutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa China nchini, Mhe. Chen Mingjian katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam Februari 23, 2023 Dkt. Kijaji alisema Tanzania iko tayali kuendeleza uhusiano huo ili…
Karibu Arusha 24Tv leo juma tatu ya tarehe 27 ya mwezi wa pili kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya Tanzania Mbele na Nyuma Hii ni A24tv Mwisho .
Askofu Mkuu wa kanisa la KKKT Dayosisi ya kaskazini kati Doctar Solomon Massangwa amekoshwa na utumishi wa Mchungaji aliye maliza muda wake na kustaafu baada ya kutumikia nafasi iyo kwa muda wa miaka 34 huku akitumika.katika nafasi mbali mbali kusaidia jamii Askofu ameyasema ayo wakatika wa ibada takatifu ya kumstaafisha Mchungaji Israel Meitamei ibada iliyo fanyika usharika waSalei ambapo amesema mchungaji Israeli ajituma na.kujitoa katika kufanya.kazi ya.pamoja na jamii bila kusukumwa. Mwisho
Matukio katika picha kutoka kanisa la KKKT Usharika wa Salei Mtaa wa Levolosi ibada ya kustaafisha Mchungaji Israel Ole Meitamei Laizer Mchungaji Israel Ole Meitamei akiwa amesimama wakati wa kusomewa historia ya kutumikia.kanisa na katibu Mkuu wa Dayosisi ya Kazkazini kati John Tanaki Katibu Mkuu wa Dayosisi ya Kazkazini kati John Tanaki Akisoma historia ya utumishi wa Mchungaji Israel Ole Mitamei Askofu Johannes KutukOle Meliyo kutoka kanisa la kinjili la kilutheri Kenya akiongoza ibada ya Neno la Mungu . Picha ya washarika wakifatilia ibada ya kumstaafisha mchungaji Israel Ole Meitamei Wachungaji kutoka sharika mbali mbali wakifatilia ibada ya kumstaafisha mchungaji…
Karibu Arusha24Tv kutazama kikicho Andikwa katika magazeti ya leo ya Tanzania mbele na nyuma hii ni A24tv .
Karibu Arusha 24Tv leo tarehe 25 Mwezi wa Pili 2023 kutazama kilicho Andikwa katika magazeti ya leo ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24Tv
Na Mwandishi wetu, Simanjiro MWENYEKITI wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Baraka Kanunga amewataka wakazi wa eneo hilo kuachana na tamaa ya fedha na kutouza ardhi kiholela. Kanunga ameyasema hayo kwenye uzinduzi wa elimu ya afya ya uzazi wa mpango kwa kina baba na ahadi ya ukarabati wa madarasa ya shule ya msingi Komolo na ujenzi wa madarasa ya shule shikizi ya Olembole utakaofanywa na shirika la ECLAT Foundation. Amesema ardhi ndiyo urithi wao uliobakia kwa jamii hivyo wakazi wa eneo hilo waachane na tabia ya kuiuza kwani aiongezeki ila binadamu wanazidi kuongezeka kila siku. “Nawapongeza mno…