Author: Geofrey Stephen

Na Mwandishi wa A24Tv Arusha Afariki dunia baada ya kuchapwa fimbo 280 baada ya kuporomosha matusi ya nguoni mama yake mzazi alikua ni kijana mwenye tabia mbaya ya  kutukana baada ya kunywa pombe. Kijana mwenye umri (32 ) Nelson Mollel mkazi wa sanawari ,Arumeru Mkoani Arusha amefariki dunia baada ya kucharazwa fimbo 70 za kimasai kwa utovu wa nidhamu. Akizungumza na waandishi wa habari  dada wa marehemu aliyejitambulisha kwa jina la  jacline Elias Mollel amesema kijana uyo ametandikwa fimbo 280 badala ya fimbo 70 pamoja na kumwagiwa Tindi kali eneo la kiunoni na kupoteza maisha . Jacline amesema kwamba Awakatai,…

Read More

Katibu Mwenezi wa Chama cha Tanzania Labour Party  Taifa Geofrey Stephen amefika kutoa mkono wa pole kwa Mwandishi nguli wa kituo cha matangazo cha Radio five ya jijini Arusha aliye fiwa na Baba yake mzazi eneo la Ngaramtoni wilayani Arumeru Mkoani Arusha . Katibu mwenezi aliambatana na waandishi mbali mbali wakubwa Jijini Arusha kutoa pole akiwemo Geofrey Thomas wa Ayo Tv Asiraj Mvungi wa ITV Radio One Jamila Omary wa Channel Ten Marry Mwita wakili wa kujitegemea pamojana Farhia Middle wa Radio one na ITV Dar es Saalam . Waandishi wengine waliofika katika Msiba huo ni pamoja na Ashura Mohamed…

Read More

Mkuu wa wilaya Mhe. Jerry C. Muro leo 09/01/2023 amefanya ziara ya mwisho ya ukaguzi wa miradi miwili ya maji ya kata za mtunduru na irisya jimbo la singida magharibi ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya uzinduzi wa miradi hiyo siku ya jumanne tarehe 10/01/2023 uzinduzi utakaofanywa na Mkuu wa mkoa wa singida Mhe. Peter Serukamba. Akizungumza wakati wa ziara hiyo Mhe. Muro amejiridhisha kuwa miradi imekamilika na wananchi wameanza kuyatumia maji safi na salama na kuwaomba wananchi wa kila eneo lenye mradi kujitokeza kwa wingi kesho. Awali meneja wa Ruwasa wilaya ya Ikungi Mhandisi Hope Liundi amefafanua kuwa…

Read More

Na Emmanuel wa A24Tv. Waziri wa habari,mawasiliano na teknolojia ya habari Nape Nnauye amesema kutokana na kasi ya ukuaji wa teknolojia hakuna budi serikali ikaendelea kuwekeza kwenye sekta ya mawasiliano kwa kujenga minara ya simu inayoweza kusaidia kupunguza adha kwa wananchi. Nape ametoa kauli hiyo Wakati akizindua mnara wa simu wa Vodacom katika Kijiji cha Kinenulo kata ya Imalinyi Wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe uliojengwa kwa ushirikiano na serikali kupitia mfuko wa mawasiliano kwa wote UCSAF na hivyo Ni lazima kuwekaza kwenye mawasiliano ili kuendana na teknolojia hiyo. Justina Mashiba ni mtendaji mkuu wa mfuko wa mawasiliano kwa wote UCSAF…

Read More