Author: Geofrey Stephen

Na Mwandishi wa A24Tv Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.)amekishauri Kiwanda cha Kioo Limited kuendelea kuzalisha bidhaa za kioo kwa wingi na zenye ubora na viwango vinavyohitajika kwa ajili ya Soko la Eneo Huru la Biashara Barani Afrika (AfCFTA). Aidha, amekishauri Kiwanda hicho kuzalisha bidhaa za kioo zitakazotumika kama vifungashio kwa ajili ya wajasiliamali wadogo wadogo ili waweze kuhimili ushindani katika biashara na kuweza kuingia katika soko la AfCFTA. Dkt. Kijaji ameyasema hayo alipotembelea Kiwanda cha Kioo Limied kilichopo Chang’ombe, jijini Dar es Salaam 14/02/2025 kwa lengo ya kuangalia bidhaa za kioo zinazozalishwa na kiwanda…

Read More

Na Mwandishi wa A24TV Dar Es saalam Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt Ashatu Kijaji (Mb.) amewaasa Wafanyabiashara kutokupandisha bei za bidhaa zote zinazotumika kwa wingi wakati wa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na Kwaresma unaotarajiwa kuanza hivi karibuni. Ameyasema hayo Februari 15, 2023 jijini Dar Es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa Habari kuhusu mwenendo wa bei za bidhaa muhimu nchini kwa mwezi Februari 2023. Pamoja na hatua mbalimbali madhubuti zilizochukuliwa kuwa na bidhaa za kutosha za sukari na ngano, Serikali inaendelea kuchukua hatua mbalimbali za kukabiliana na ongezeko la bei ya mchele kwa kutoa vibali…

Read More

Na Doreen Aloyce,Dodoma Mtendaji Mkuu wa TBA Daud Kondoro Amesema Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) imeishukuru serikali ya Rais Dkt. Samia kwa kukuendelea kuwawezesha kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi ikiwemo kupewa fedha bilioni 54.2 kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya ujenzi. Daud Kondoro ameyasema hayo jijini Dodoma wakati akizungumza na wandishi wa habari kuhusu utekelezaji wa majukumu wa wakala huo katika kipindi cha miaka miwili. “Naishukuru sana serikali ya Rais Dk. Samia kwa kuendelea kuiwezesha TBA kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi mkubwa ikiwa ni Pamoja na kutoa fedha za ruzuku kwa ajili ya kutekeleza miradi ya serikali. katika kipindi…

Read More

Na Doreen Aloyce, Dodoma JAMII meshauriwa kuacha kukopa mikopo umiza kiholela Almaharufu Kama (KAUSHADAMU) na baadala yake wameshauriwa kuchukua fedha hizo kwa Matumizi lengwa kwani wanawake wengi wamekuwa wakichukua mikopo na kufanya mambo ambayo hayaingizi kipato kama vile kulipa ada,ujenzi wa nyumba na fahari za mavazi. Hayo yamesemwa leo jijini Dodoma na Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) Being’i Issa wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya utekekezaji wa majukumu ya baraza hilo . Pia amesema kuwa watanzania wengi bado hawana elimu ya kutosha juu ya matumizi ya fedha itokanayo na mikopo na badala…

Read More

Na Doreen Aloyce, Dodoma Serikali imechukua hatua mbalimbali kutatua changamoto za kiuchumi katika vituo vya utangazaji nchini kwa kupunguza ada za leseni za mwaka kwa takribani asilimia 40. Pia Serikali imepunguza ada za masafa ya utangazaji katika maeneo ambayo hayana tija kibishara. Haya yameelezwa jijini hapa jana, Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia, Kundo Methew, wakati akifungua Mkutano Siku Mbili wa Nwaka wa Watao Huduma wa Sekta ya Utangazaji pamoja na Maadhimisho ya Siku ya Redio Duniani. “Hatua za kwanza Serikali iliyochukua ni kupunguza ada za mwaka za leseni utangazaji kwa takribani asilimia 40,” amesema Methew Methew alisema, Serikali…

Read More

Mwandishi wetu , Longido Shirika la wanahabari la kusaidia jamii za Pembezoni (MAIPAC) limeanza kusambaza vitabu vya maarifa ya asili katika utunzaji wa Mazingira, misitu na Vyanzo vya maji, katika makundi mbalimbali ikiwepo mashuleni,kwa vijana na makundi mengine. Vitabu hivyo,vilizinduliwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dr Seleman Jafo jijini Arusha mwishoni mwa wiki iliyopita. Vitabu hivyo, ambavyo vinatokana na simulizi la viongozi wa Mila ya kimasai, wanawake na vijana vimechapishwa Ikiwa ni sehemu ya mradi wa Uhifadhi na utunzwaji Mazingira kwa maarifa ya Asili ambao unaofadhiliwa na mfuko wa Mazingira duniani (GEF) kupitia…

Read More

Na Doreen Aloyce, Dodoma . Dodoma Baraza la Taifa la ujenzi limeendesha mafunzo ya kusimamia mikataba ya ujenzi na utatuzi wa migogoro kat toika miradi ya ujenzi kwa wadau 155 kutoka Tanzania bara na Tanzania visiwani. Mtendaji Mkuu wa baraza la taifa la ujenzi Dk.Matiko Mturi Amesema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma kuhusu utekelezaji wa baraza hilo katika serikali ya awamu ya sita. Dkt Mturi amesema wameandaa Rasimu ya Mapendekezo ya gharama za msingi za ujenzi wa barabara (base unit rates) kwa kila mkoa wa Tanzania bara na kuwakilisha katika kikao cha wadau wa ndani ya…

Read More