Hai, Mwenyekiti wa mtaa wa Kibaoni Bomang’ombe Wilayani Hai mkoani Kilimanjaro Boniphes Mrema, amesema atahitisha mkutano wa dharura wa Wazazi na walezi ili kuja kuweka mpango wa kuwalinda watoto dhidi ya vitendo vya ukatili ikiwamo ulawiti na ubakaji Haya yamesemwa na Mwenyekiti huyo wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake, ambapo amesema anahitisha mkutano ili kupanga namna ya kukabiliana na vitendo vya ukatili dhidi ya watoto. “Ni kweli naitisha mkutano wa Wazazi na walezi kuja kuweka mpango mkakati wa nama ya kudhibiti matendo ya ukatili dhidi ya watoto ikiwamo ulawiti na ubakaji “amesema Boniphes. Amesema amelazimika kusema hivyo,wakiwa kwenye…
Author: Geofrey Stephen
Karibu Arusha 24tv leo January 28, 2025,kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania. Hii ni A24tv. Mwisho .
Na Richard Mrusha Mkurugenzi wa Le grand Victoria Hotel Musoma, na uongozi wake unamtakia mhe Rais heri ya siku ya kuzaliwa inayofanyika leo Januari 27,2025. Mkurugenzi huyo ametoa salamu za pongezi kwa Dkt.Rais wa Jamuhuri ya Muungano kufuatia uadhimisho wa siku yake ya kuzaliwa,,huku akimtakia kila la heri katika utumishi wake wa kuwaletea Maendeleo Wananchii Amesema, mhe Rais Dkt. Samia ndani ya miaka minne amefanya mambo makubwa kwenye nchi yetu kila mtu ni shahidi”amesema. Nakuongoze kuwa “sisi wawekezaji Sekta ya Utalii tunamshukuru sana kwa uzinduzi wa filamu ya kuhamasisha utalii” The Royal Tour” ambayo imefungua milango ya watalii wengi kutoka…
Juma Tatu ya leo January 27 karibu Arusha24tv kutaama kilicho Andikwa katika Magazeti ya leo ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv . Mwisho .
Na mwandishinwa A24tv . Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) Kanda ya Kaskazini tarehe 25.01.2025 imetoa elimu kinga dhidi ya madhara ya dawa za kulevya kwa wananchi waliohudhuria Maadhimisho ya ufunguzi wa Wiki ya Sheria mkoani Arusha yanayoendelea kuhadhimishwa katika viwanja vya TBA Kaloleni. Kauli Mbiu ya Maadhimisho ya Wiki ya Sheria kwa Mwaka 2025 ni; *_”Tanzania ya 2050: Nafasi ya Taasisi Zinazosimamia Haki Madai Katika Kufikia Malengo Makuu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo”._ DCEA kwa kushirikiana na Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Kanda ya Kaskazini kwa pamoja walikuwa na banda maalum la…
Juma Mosi ya tarehe 25 Mwaka 2025 karibu kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya leo ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv. Mwisho .
Na Mosses Mashala Zanzibar . Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amewashukuru wasanii wote kwa kuunga mkono juhudi za Serikali katika kuwaletea maendeleo wananchi tangu ameingia madarakani wamekuwa wakijitolea kufikisha ujumbe kupitia sanaa ya burudani na kuitangaza Zanzibar. Rais Dk.Mwinyi ameyasema hayo alipokutana na Rais na Mmiliki wa Crown Media , Ali Saleh Kiba na ujumbe wake waliofika Ikulu Zanzibar tarehe 24 Januari 2025. Aidha, Rais Dk.Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuwapa ushirikiano Wasanii wote katika shughuli mbalimbali. Naye , Ali Saleh Kiba amemuahidi Rais Dk.Mwinyi kujitolea bega kwa bega kutangaza mafanikio ya Zanzibar kupitia…
Na Geofrey Stephen Arusha . Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt.Selemani Jafo ameiagiza Bodi ya Wakurugenzi wa Kituo cha Zana za Kilimo na Teknolojia Vijijini (CAMARTEC) kuleta mabadiliko zaidi katika uzalishaji na udhibiti wa zana za kilimo zinazoingia kutoka nje ya nchi ikiwemo kutopata hati chafu sanjari na matumizi sahihi ya fedha. Waziri Jafo ameyasema hayo Januari 24, 2025 wakati wa uzinduzi wa Bodi ya Wakurugenzi wa CAMARTEC, Jijini Arusha ambapo Mwenyekiti wa Bodi hiyo kula kiapo cha Maadili. Alisisitiza Bodi hiyo kusimamia vema kazi za kituo hicho ikiwemo kuacha kufanya kazi kwa mazoea ili kuhakikisha zana za kilimo zinawafikia…
Karibu Arusha24tv leo January 24 kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv.
Karibu Arusha 24tv leo January 23 kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv .