Author: Geofrey Stephen

Na Geofrey Stephen Arusha . Baraza la Biashara la Afrika Mashariki (EABC) limempongeza mhudumu mpya wa Ofisi ya Spika wa Bunge la Afrika Mashariki, Bw Joseph Ntakarutimana, likisema Bunge hilo liko tayari kuwa na mustakabali mzuri mbeleni. Bw Ntakarutimana alichaguliwa Jumanne Desemba 20, 2022, kuongoza chombo cha tano cha kutunga sheria katika kanda kwa miaka mitano ijayo. Mwenyekiti wa EABC, Bi Angelina Ngalula, anatumai amani na utangamano ulioshuhudiwa wakati wa hafla yake ya kuadhimisha uchaguzi kwa afya ya Bunge la Afrika Mashariki (EALA) Bw Joseph Ntakarutimana, mwanadiplomasia mzoefu wa Burundi, alipata asilimia 85.7 ya kura 63 zilizopigwa wakati wa kikao…

Read More

Na Geofrey Stèphen ARUMERU  WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii ,Jinsia ,wanawake na Makundi maalumu ,dkt Dorothy Gwajima amewataka wahitimu wa taasisi za maendeleo ya jamii (TICD) Tengeru , kuwa mabalozi wazuri wa kupinga vitendo vya ukatili katika maeneo yao, kwa kuwa hali ya ukatili hapa nchini ni mbaya. Waziri Gwajima alitoa rai hiyo mwishoni mwa wiki ,wakati alipohudhulia mahafali ya 12 katika taasisi hiyo,iliyopo Tengeru wilaya ya Arumeru, mkoani Arusha, ambapo jumla ya wahitimu 1604 walihitimu ,Shahada ya kwanza,Stashahada ya maendeleo ya jamii,Astashahada ya maendeleo ya jamii na  Astashahada ya msingi wa maendeleo ya jamii.  Aliwaasa wahitimu hao kuitumia taaluma…

Read More

Rai imetolewa kwa walimu wote wa shule za msingi na sekondari na vyuo nchini kupunguza matumizi ya viboko na vitisho kwa wanafunzi kama njia ya kufanya wafaulu katika masomo yao kwa kuwa huo si mtazamo sahihi. Rai hiyo imetolewa Jijini Dar es Salaam na Kamishna wa Elimu, Dkt. Lyabwene Mtahabwa wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa siku mbili wa wadau wa Mradi wa Kuendeleza Elimu ya Ualimu (TESP) ambapo alimwakilisha Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Francis Michael. Ameongeza kuwa walimu wanatakiwa wafahamu kuwa watoto wote hawana uwezo unaofanana hivyo wanatakiwa kuwachukulia watafute mbinu mbalimbali za kumsaidia…

Read More