Karibu Arusha 24Tv kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya leo January 29 ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24Tv Mwisho
Author: Geofrey Stephen
Mwandishi wetu, MAIPAC Arusha.Shirika la Kimataifa la Freedom la House , limeahidi kufanya kazi la taasisi ya Wanahabari ya kusaidia jamii za Pembezoni (MAIPAC) Ili kutekeleza mpango mkakati wake wa miaka miaka mitano 2020-2025. Mpango huo wa Maipac (strategic plan) unalenga kusaidia jamii hizo kuchochea maendeleo na kuwezesha wanahabari kuifikia kufanya habari za uchunguzi Ili kutatua changamoto kadhaa ukatili wa kijinsia masuala ya Mazingira na Ushiriki katika masuala ya Kidemokrasia na Utawala bora Maipac kwa Sasa inatekeleza mradi wa uhifadhi mazingira,vyanzo vya maji na misitu kwa maarifa ya asili ambao unaofadhiliwa na shirika la maendeleo la umoja wa mataifa…
Karibu kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya leo ya Tanzania tarehe 28 January 2023 Mbele na nyuma Hii ni A24Tv. Mwisho
NaGeofrey Stephen Samunge Arusha . Asante Nabii Mkuu GeorDavie tumepokea hundi ya Millioni 100. ijumaa ya tarehe 27 imekua siku ya historia kwa wafanyabiashara wa soko la Samunge Jijini Arusha mara baada ya Nabii Mkuu wa Kanisa la Ngurumo ya Upako, Dr,GeorDavie, kukabidhi rasmi hundi ya sh,milioni 100 aliyoahidi kwa wafanyabiashara hao wa soko la Samunge na kuibua shangwe kwa wafanyabiashara hao Nabii GeorDavie alitoa ahadi hiyo januari 23 mwaka huu katika soko hilo, baada ya kupokea maombi kutoka kwa wafanyabiashara hao juu ya uhitaji kutokana na kuunguliwa kwa soko hilo miaka minne iliyopita na kupoteza Mali zao .…
Ijumaa ya leo January 27, 2023,Tuna kukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania, Hii ni A24Tv. Mwisho
Na Geofrey Stephen .Arusha. Arusha.Waziri wa Mali asili na Utalii Pindi Chana ameitaka bodi mpya ya Taasisi ya utafiti wa wanyama pori Tanzania Tawiri kuongoza mamlaka hiyo kidigitali na kuongeza idadi ya watalii nchini kwa kufikia million 5 ifikapo mwaka 2025. Ameyasema hayo leo jijini Arusha wakati wa uzinduzi wa bodi mpya ya 6 ya Mamlaka ya usimamizi na utafiti wa wanyama pori Tanzania ( TAWIRI) ambapo amewataka kushirikiana na mamlaka ya wanyama pori kuendeleza sekta ya utalii . Amesema kuwa, endapo wataongeza watalii watainua mapato ya sekta ya utalii kwani kwa sasa mapato ya mchango wa utalii kwa serikali …
January 26, 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania,
Wafanyabiashara wameshauriwa kuhakikisha wanatumia fursa ya Tanzania kuwa miongoni mwa nchi nane za majaribio za kuuza bidhaa chini ya Mkataba wa Eneo Huru la Biashara Afrika (AfCFTA) kuanzia Julai 1, 2023 kwa kupeleka bidhaa zenye viwango na ubora wa kimataifa. Wito huo umetolewa na Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) wakati wa Mkutano wa kuwajengea uwezo na kuwahamasisha Wanyabiashara kuhusu kuchangamkia fursa za biashara chini ya AfCFTA uliofanyika Januari 24,2023, JNICC Dar es Salaam. Aidha, Dkt Kijaji amesema kuwa malighafi zikipelekwa nje ya nchi zinawanyima watanzania ajira na zinapoxhakatwa na kuletwa nchini tunazinunua kwa gharama kubwaa.…
Waziri wa mali asili na utalii Pindi Chana ameitala bodi mpya ya mamlaka ya utafiti wa wanyama pori nchini Tawiri kuongoza mamlaka iyo kidigital na kuongeza idadi ya watalii nchini kwa kufikia million tano kwa mwaka 2025 Ameyasema ayo wakati wa uzinduzi wa bodi mpya ya sita ya mamlaka ya usimamizi na utafiti wa wanyama pori tawiri waziri chana amesema kwa kushirikiana na mamlaka ya wanyama pori kuendeleza sekta ya utalii ambapo bidi iyo mpya ndio majukumu yao Amesema endapo wataongeza watalii watainua mapato ya sekta ya utalii ambapo kwa sasa mapato ya mchango wa utalii kqa serikali asilimia 17…
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya Wapya 37, kuwahamisha vituo vya Kazi Wakuu wa Wilaya 48 na wengine 55 kubakia kwenye vituo vyao. Kati ya Wakuu wa Wilaya hao 140, Wanawake ni 40 na Wanaume ni 100 ambao ni kama ifuatavyo: A) WAKUU WA WILAYA WAPYA: Felician Gasper Mtahengerwa – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha Marko Henry Ngu’mbi – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Longido Emmanuela Kaganda Mtatifikolo – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Arumeru. Gerald R. Mongella – Ameteuliwa…