Author: Geofrey Stephen

Arusha Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa mwaka 2024, Godfrey Eliakimu Mnzava amewataka walimu kusimamia wanafunzi wao kutunza miundombinu ya shule ya Sekondari ya Wasichana Arusha iliyoko kata ya Olasiti jijini Arusha. Amesema kufanya hivyo kutasaidia miundombinu ya shule hiyo kudumu kwa mda mrefu na kuwanufaisha wanafunzi waliopo sasa na vizazi vijavyo. Mnzava ameyasema hayo leo Julai 22,2024 wakati akizindua mradi wa ujenzi wa vyumba 15 madarasa, mabweni 2 na matundu 21 ya vyoo 21 ya Shule ya Sekondari ya Wasichana Arusha iliyoko kata ya Olasiti. Mradi huo uliotekelezwa na serikali kupitia Kampuni ya madini Barrick kwa gharama…

Read More

Mfanya biashara maarufu wa  Richard Poul Marcas amemshukuru Rais wa awamu ya sita Mh Samia Suluhu Hassan kwa kuwatengua watoto wa vigogo ambao walikua mawaziri bila kujali kwamba wanamajina makubwa katika nchii hii Marcas amesema Nampongeza sana Mh Rais kwa kuwatengua January Makamba pamoja na Nape Nauye kwa sababu walisha kosa sifa zakua mawaziri katika serikali ya awamu ya sita pia Mh Rais  ajaangalia kwamba ni watoto wa watu wakubwa alicho angalia ni utendaji imara katika kuwatumikia wananchi . TUNAKUSHUKURU SANA KWA UTEUZI MZURI ULIOUFANYA KWANI KIKULACHO KIKO UKINGONI KWAKO SASA WAKAJIPAGE VIZURI 2025. NA HUKU MTAANI HATUWATAKI KABISA LABDA…

Read More

Na Bahati Siha . Mkuu wa Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro , Christopher Timbuka,amewataka wadau wa maendeleo Wilayani humo kuhudhuria kikao maalumu cha kamati ya maendeleao Wilaya (DCC)kwa ajili ya ukusanyaji wa maoni ya Dira ya Taifa ya maendeleao 2050 Kikao hicho kitakaoshirikisha wadau mbalimbali wa maendeleao wakiwamo taasisi za Dini ,vyama vya Siasa na wawakilishi wa makundi yote muhimu katika jamii pamoja na mtu mmja mmoja wanakaribishwa kitakachofanyika ukumbi wa halmshauri hiyo Haya yamesemwa leo na Mkuu wa Wilaya Christopher Timbuka, Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake ,ambapo amesema lengo la mukusanyiko huu ni kupata maoni ya wadau…

Read More

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2024 Ndugu Godfrey Eliakim Mnzava ameweka Jiwe la Msingi mradi wa uuzaji wa mafuta kituo cha Puma kata ya Oloirien mapema leo Julai 20, 2024. Mradi huo ambao umeanza kutoa huduma unategemea kugharimu kias8 cha shilingi milioni 590 mpaka kukamilika kwake. Akiwasilisha taarifa ya mradi huo, kwa niaba ya mmiliki wa Kituo hicho Yusuf Hure, amesema kuwa mradi huo licha ya kutoa huduma ya mafuta kwa jamii na kuwaingizai kipato umeweza kuajiri watu 27, kuchangia pato la halmashauri na Serikali kwa ujumla wake. Aidha, ameishukuru Serikalia ya awalu ya sita chini ya…

Read More

Na Geofrey Steven Serikali kupitia maafisa maendeleo ya jamii na biashara wametakiwa kuondoa vikwazo vya kibiashara vya kusafirisha mazao mikoani na nje ya nchi kwa vijana waliojitokeza kujiajiri kupitia shughuli za kilimo. Rai hiyo imetolewa na Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Godfrey Eliakimu Mnzava wakati alipotembelea na kukagua mradi wa uwezeshaji vijana Kiuchumi kupitia Kikundi cha Vijana cha Agri – Genius. Mradi huo wenye thamani ya shillings milioni 32 Uliowezeshwa kupitia mkopo uliotolewa na Ofisi ya Waziri Mkuu, Idara ya Vijana, wanaojishughulisha na kilimo cha umwagiliaji na mazao cha mbogamboga na matunda. “Nawaagiza Maafisa Maendeleo ya Jamii na…

Read More

Na John Mhala,Longido SERIKALI imepeleka zaidi ya shilingi Bilioni moja katika Kata mbili za Noondoto na Kimokouwa zilizopo Wilayani Longido Mkoani Arusha kwa ajili ya ujenzi wa madarasa nane,maabara tatu za Sayansi,jengo la utawala na ujenzi wa vyoo vya walimu na wanafunzi kwa Kata hizo. Hayo yalisemwa na Naibu Waziri wa Madini na Mbunge wa Jimbo la Longido ,Dkt Steven Kiruswa katika Mkutano wa hadhara katika kata ya Noondoto katika ziara zake za kusikiliza kero za wananchi na kusema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ameitendea haki Longido na wananchi wa jimbo hilo wamemshukuru sana kwa kiasi hicho cha fedha. Alisema…

Read More

Dubai -July 20 Emirates has unveiled the first cities on its network to be served with its newest Boeing 777 cabin interiors. The airline plans to introduce its refurbished B777s to Geneva, Tokyo Haneda and Brussels, offering customers more opportunities to experience the airline’s signature Premium Economy on this aircraft, and for the first time Emirates’ next generation Business Class seats, set in a new 1-2-1 configuration. Emirates flights on the refreshed Boeing 777 to Geneva, Tokyo Haneda and Brussels go on sale today and can be booked on emirates.com, the Emirates App or via travel agents. Deputy President…

Read More