Hii ni Arusha 24Tv karibu kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya leo ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24Tv .
Author: Geofrey Stephen
Karibu Arusha 24Tv leo November 7 Kutazama kilicho Andikwa Katika Magazeti ya Tanzania Mbele na Nyuma Hii ni A24Tv .0
Juma Pili ya Leo ya Tarehe 6 November 2022 Karibu Kutazama Kilicho Andikwa Katika Magazeti ya leo ya Tanzania Mbele na Nyuma Hii no A24Tv.
Na Doreen Aloyce, Dodoma WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amezindua zoezi la ugawaji wa vishikwambi 293400 Kwa walimu wote nchini lengo ni kuboresha mazingira ya ufundishaji Kwa njia ya TEHAMA. Ameagiza vishikwambi hivyo kuwafikia walengwa pasipo ubadhilifu huku akiwasisitiza walimu kuvitumia kwa usahihi. Akizungumza katika uzinduzi huo Majaliwa amesema serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imedhamiria kwa vitendo kuwekeza katika eneo la TEHAMA ili vijana wapate ajira na kujiajiri wenyewe kupitia shughuli mbalimbali na kusaidia Taifa kukua kiuchumi. Amesema adhma hiyo inaakisi mpango mkakati wa maendeleo wa Taifa ambao unaainisha afua ya kimkakati katika kuboresha na…
Juma Mosi November 5 ,2022 Karibu kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya leo ya Tanzania mbele na nyuma hii ni A24Tv .
NA: VERONICA MAKONGO, ARUSHA Waandishi wa habari nchini wametakiwa kuandika habari zenye manufaa Kwa jamii Kwa kuandika habari bunifu zinazolenga kuwakwamua wananchi kuondokana janga la umaskini. Sekta ya habari na utangazaji ikitumika ipasavyo hususani vyombo vya habari mtandaoni kwa kuzingatia ukuaji wa teknolojia vinaharakisha zoezi la kuipasha jamii habari kwa wepesi na haraka zaidi hivyo kuwa chachu ya mabadiliko Mkurugenzi wa taasisi ya wanahabari ya MAIPAC Bw Musa Juma akitoa hotuba katika mahafali ya 16 ya chuo cha uandishi wa habari Fanikiwa. PICHA na Marystela Bryson. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi mtendaji wa taasisi ya wanahabari inayosaidia jamii za pembezoni nchini…
Na Doreen Aloyce , Dodoma Katika juhudi za serikali za kuimarisha mazingira ya ujifunzaji wanafunzi wa kike hapa nchini,Taasisi ya maendeleo ya jamii Tengeru iliyopo Jijini Arusha kwa mwaka wa fedha 2022/2023 imeipatia shilingi Bilion 2.3 kwa ajili ya ujenzi wa bweni la kike ambalo litasaidia kuondoa changamoto wanazokabiliana nazo ikiwemo vitendo vya ubakaji . Akizungumza na vyombo vya habari Jijini Dodoma wakati akiwasilisha utekelezaji na mwelekeo kwa mwaka wa fedha 2022/2023 Mkuu wa Taasisi ya maendeleo ya jamii Tengeru Dkt. Bakari George amesema kuwa Bweni hilo lenye uwezo wa kubeba wanafunzi 568 litakuwa mkombozi kwao na taasisi hiyo Amesema…
Na Geofrey Stephen ,ARUSHA KATIBU Mkuu wizara ya Ardhi nyumba na maendeleo ya Makazi Dkt Allan Kijazi amevitaka vituo vya makusanyo ya Kodi na masulufu ya serikali,kutozifumbia macho taasisi za Serikali ambazo zinadaiwa kwa kuwa suala la ulipaji wa Kodi ni suala la kisheria na sio hiari. Dkt Kijazi aliyasema hayo mapema Leo jijini Arusha wakati akifungua kikao kazi cha kujadili utekelezaji wa mkakati wa makusanyo ya Kodi ya pango la Ardhi Kwa kushirikiana na benki ya CRDB. Alisema kuwa ni muhimu kwa wamiliki wa ardhi kuhakikisha wanalipa Kodi hizo Kwa wakati ili kuruhusu utekelezaji na mikakati mbalimbali ya…
Karibu Arusha 24Tv leo November 4 ,2022 kutazama kilicho andikwa katika magazeti ya Tanzania mbele na nyuma hii ni A24Tv
Na Doreen Aloyce, Dodoma Tanzania ina Zaidi ya ndege zilizosajiliwa 400 ambazo zimekifanya chuo cha usafirishaji nchini NIT kuanzisha mafunzo ya urubani sanjari na kununua ndege mbili za mafunzo kutoka nchini Marekani zenye thamani ya dola milioni 1.2. Akiongea na waandishi wa habari Jijini Dodoma Mkuu wa Chuo cha Usafirishaji nchini NIT Prof. Zakaria Mganilwa ameeleza kwamba asilimia 60 ya marubani nchini wanatoka nje ya nchi hivyo wameona ili kupunguza ombwe la upungufu wa marubani wazawa chuo hicho kimeanzisha mafunzo ya urubani. Amesema Serikali imetenga fedha za kuanzisha kozi mahusisi kiasi cha billion 50 ikiwemo ujenzi wa majengo matano yenye…