Author: Geofrey Stephen

Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) ameihakikishia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti kuwa Wizara itayafanyia kazi maelekezo, miongozo na maoni yaliyotolewa katika uanzishaji, ujenzi na uendelezaji wa Mradi wa Bandari ya Bagamoyo na Eneo Maalum la Uwekezaji (EPZ) kwa ufanisi na kwa wakati. Waziri Kijaji ameyasema hayo alipokuwa akijumuisha maoni na mapendekezo ya Wajumbe wa Kamati hiyo wakati wa uwasilishaji wa Taarifa ya Machakato wa Uanzishwaji, Ujenzi na Uendelezaji wa Mradi wa Bandari ya Bagamoyo na Eneo Maalum la Uwekezaji (EPZ), Oktoba 19 2022 katika ukumbi wa Bunge jijini Dodoma. Aidha, Dkt. Kijaji…

Read More

Mwandishi wetu, Arusha Shirika la wanahabari la kusaidia jamii za Pembezoni (MAIPAC) na shirika la msaada wa kisheria na elimu ya Uraia(CILAO) yamebaini utajiri wa maarifa ya asili ambao unaweza kukabiliana na changamoto za athari za mabadiliko ya tabia nchi. Wakizungumza katika kikao cha kupitia na kuhakiki taarifa za uchunguzi zilizokusanywa katika wilaya za Longido, Ngorongoro na Monduli kupitipia mradi wa ukusanyaji maarifa ya asili katika utunzwaji Mazingira,Vyanzo vya maji na kukabiliana na changamoto na mabadiliko ya tabia wakurugenzi wa mashirika hayo walibainisha ni muhimu sana maarifa ya asili kutunzwa na kuendelezwa. Walisema kupitia mradi huo ambao udhamini wa na…

Read More

Na Mwandishi wa A24Tv . Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt.Ashatu Kijaji (Mb.) amewahakikishia watanzania kuwa Serikali imejipanga kikamilifu kufufua viwanda vyote vilivyokufa na kutelekezwa ili viweze kuongeza thamani kwa mazao yanayozalishwa nchini, kutoa ajira na kuchangia katika ukuaji uchumi kwa ujumla. Waziri Kijaji ameyasema hayo, Oktoba 17, 2022 alipotembelea Kiwanda cha Tumbaku cha Mkwawa kilichopo Mkoani Morogoro kujionea jinsi kiwanda hicho kinavyofanya kazi baada ya kusimama uzalishajikwa takribani miaka mitatu . Aidha, Dkt. Kijaji amewashauri wakulima wa Tumbaku mkoani humo na Tanzania kwa ujumla kulima tumbaku kwa wingi kwa kuwa zao hilo ni la kimkakati na kwa…

Read More