Author: Geofrey Stephen

Na Pamela Mollel,Arusha Serikali imeshauriwa kuwekeza nguvu kwa vijana hususani wajasiriamali wadogo wanaokuwa ili kuongeza Kasi ya viwanda nchini Kwa Sasa Kuna uwekezaji pamoja na mafunzo mbalimbali ambayo yanatolewa na SIDO ingawaje uhitaji bado ni kubwa sana. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi wa kampuni ya Bilsarm Investment Ali Babu wakati akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kuhutimisha mafunzo ya mradi wa uanagenzi ambao ulikuwa unasimamiwa na SIDO Alisema kuwa kwa Sasa uwekezaji ambao unafanywa umeweza kuzaa matunda makubwa na matunda hayo yanatakiwa yaweze kuifukia jamii hususani vijijini Alisema kuwa endapo kama vijana wataweza kuwezeshwa kuanzia kwenye ngazi ya…

Read More

Na Geofrey Stephen Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Hamad Hassan Chande amewataka Makatibu wakuu ndani ya Taasisi za serikali kuhakikisha wanawashirikisha kwa hatua zote wakaguzi wa ndani lengo liwe kuongeza uwajibikaji uwazi na ufanisi katika matumizi ya fedha za umma na ripoti ya CAG. Ameyasema hayo Leo  jijini Arusha wakati akifungua semina ya siku tatu ya bodi ya wakaguzi wa ndani inayofanyika jijini Arusha,ambapo uwazi na uwajibikaji katika kutoa huduma sanjari na kuongeza vifaa kuwashirikisha itasaidia kuongeza uwazi kwenye uwajibikaji. Alisema kwamba tunapokwenda IIA ni jambo muhimu sana katika nchi yetu ikiwa ni Pamoja kwa viongozi wa serikali kuwasogeza…

Read More

Na Geofrey Stephen Arusha  Kamati ya Kudumu ya bunge, huduma na Maendeleo ya jamii,imeridhishwa na hatua ya ujenzi wa jengo la Ufundi Tower uliofikia asilimia 99, katika chuo cha ufundi Arusha na kuagiza mradi huo ukamilike kwa wakati ili liweze kupokea wanafunzi ifikapo mapema mwezi oktoba mwaka huu. Agizo hilo limetolewa na Mwenyekiti wa kamati hiyo Stanslaus Nyongo wakati kamati hiyo ilipotembelea chuo cha Ufundi ATC Jijini Arusha. Alisema kwamba kamati hiyo imeridhishwa na matumizi ya fedha za uviko 19 kiasi cha sh,bilioni 1.7 zilizotolewa na serikali kwa ajili ya kumalizia  kutekeleza mradi  huo unaogharimu thamani ya sh, bilion 5.…

Read More

Na Mwandishi wa A24Tv . Loliondo Arusha. Matumizi ya maarifa ya asili katika uhifadhi wa misitu, vyanzo vya maji na Mazingira umesaidia jamii ya wafugaji Kata ya Enguserosambu kutoathirika na mabadiliko ya tabia nchi. Wakizungumza na waandishi wa habari waliofika katika Kata hiyo, ,kupitia mradi wa uhifadhi Mazingira kwa maarifa asilia ambao unatekelezwa na taasisi ya Usaidizi wa jamii za Pembezoni (MAIPAC) kwa kishirikiana na taasisi ya CILAO katika mradi unaodhaminiwa na shirika la maendeleo la umoja wa mataifa(UNDP) kupitia program ya miradi midogo na kuratibiwa na Jumuiko la maliasili Tanzania (TNRF) baadhi ya viongozi wa Mila na serikali wameeleza…

Read More

Katika kuunga jitiada za Mh Rais Samia Suluhu Hassan kutangaza utalii wa hapa nchiji Campuni ya utalii ya Jungle of Kilimanjaro Trips jnakuletea Safari ya Day Trip Tarehe 24 September 2022 Imeandaliwa na Compuni ya utalii ya Jungle of Kilimanjaro trips , Nia ya trip hii nikuwakutanisha wadau kutoja setor tofautitofauti ,, na Dhumuni kubwa ni kutangaza utalii wa ndani na kivutio hiki hadimu cha LAKE CHALA ,, Watu wendi hawafahamu kuhusu Lake Chala na maajabu yake ,,! Sasa hii ni nafasi pekee ya kujua na kuunga mkono juhudi za mama kwani Wanawake ni jeshi kubwa ,, Jambo lingine ni…

Read More