Author: Geofrey Stephen

Na Mwandishi wa A24Tv .Arusha Mchezaji wa Golf Jay Nathwani wa klabu ya Gymkhana Arusha, ameshinda mashindano ya Golf ya Arusha open 2022 yaliyofanyika uwanja wa Gymkhana jijini Arusha. Mashindano hayo ambayo yalidhaminiwa na kampuni ya Bima ya Reliance na kishirikisha wachezaji 117. Nathwani alishinda kwa kupata jumla ya mikwaju 154 na nafasi ya pili ilichukuliwa na aliyekuwa bingwa mtetezi wa mashindano hayo Victor Joseph wa kutoka klabu ya Gmykhana ya jijini Dar es Salaam. Mratibu wa mashindano hayo,Prudence Kaijage alimtangaza mshindi kwa upande wa wasichana alikuwa ni Neema Ulomi akifatiwa na Stella Emmanuel. kaijage alisemakwa upande wa watoto mshindi…

Read More

Na Geofrey Stephen ,Arusha Arusha.Halmashauri ya Arusha  kupitia baraza la madiwani wamemkabithi mfanyabiashara maarufu Dk Philemon Mollel (Monaban) cheti  cha  shukrani kwa kuchangia mifuko 60 ya saruji kwa ajili ukarabati wa  madarasa shule ya sekondari Oldadai katika halmashauri ya Arusha. Akikabithi cheti hicho leo jijini Arusha katika baraza  hilo, Mkurugenzi wa  halmashauri ya Arusha   ,Suleman Msumi  amesema kuwa, wamefikia  hatua  ya kukabithi cheti  hicho kutokana na mchango mkubwa alionao katika shughuli mbalimbali za  maendeleo . Amesema kuwa,walikuwa na zoezi la kitaifa  ambalo hufanyika  kila  mwaka la mwenge  wa uhuru kwa ajili ya kuweka  jiwe  la msingi na  kuzindua  baadhi ya…

Read More

Na Mwandishi wa A24Tv . Dar es saalam Katika kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 50 tangu kuanzishwa kwa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko amepongeza jitihada na ubunifu unaofanywa na shirika hilo. Dkt. Biteko ametoa pongezi hizo baada ya kutembelea kiwanda cha kuzalisha mkaa mbadala wa kupikia unaojulikana kama Rafiki Coal Briquettes unaotokana na makaa ya mawe kilichopo jijini Dar es Salaam. Dkt. Biteko amesema, pamoja na Serikali kuendeleza juhudi za kupambana na matumizi ya mkaa utokanao na misitu na badala yake kutumia nishati mbadala, STAMICO imeunga mkono jitihada hizo kwa kuanzisha…

Read More

Na Mwandishi wa A24Tv . Serikali ya Oman imevutiwa kuwekeza katika madini ya viwandani na madini ya ujenzi nchini. Kauli hiyo, ameitoa Balozi wa Oman nchini Tanzania Said All-Shidham baada ya kukutana na Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko katika Ofisi ndogo za wizara jijini Dar es Salaam. Balozi Shidham amesema nchi ya Oman imevutiwa kuwekeza kutokana na hali ya utulivu uliyopo nchini, amani, na mazingira wezeshi kwenye Sekta ya Madini chini ya Uongozi wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. Kwa upande wake, Dkt. Biteko amesema milango ya Wizara ya Madini kwa wawekezaji iko…

Read More