Karibu Kupitia Vichwa vya Habari Magazeti ya leo na Arusha 24Tv .
Author: Geofrey Stephen
Tim ngumu ya Merves Hotel ya jijini Arusha imeangushia kichapo kizito Timu ya Maveteran ya Moshi Dc Goli saba kwa tatu na kuendelea kujiwekea historia ya Timu ngumu katika ukanda wa Arusha inayo toa dozi. Mechi hiyo ya aina yake iliyo chezwa katika uwanja wa sinoni jijini Arusha na kushughudiwa na maelfu wa mashabiki wa mpira jijini Arusha ilikua ya aina yake kutokana na vikosi kua moto Akizungumza na A24Tv Meneja wa Timu hiyo Mathayo Peter Kabaa Amesema kwamba timu yake imefanya vyema kutokana na mwendelezo mzuri wa kujifua kuelekea michuano mbali mbali Kabaa amesema lengo la mashindano hayo ni…
Ni Jumamosi ya Leo Tarehe 24September 2022Tunakukaribisha Kutazama Kilicho Andikwa Katika Magazeti ya Leo ya Tanzania Mbele na Nyuma Hii ni A24Tv .
Karibu Arusha 24Tv leo Ijumaa September 23 Kutazama Kilicho Andikwa Katika Magazeti ya leo ya Tanzania Mbele na Nyuma Hii ni A24Tv
Karibu Arusha 24Tv Leo September 22 Kutazama Kilicho Andikwa Katika Magazeti ya Tanzania Mbele na Nyuma Hii ni A24Tv .
Na Geofrey Stephen Arusha Naibu waziri ofisi ya makamu wa rais muungano na Mazingira ,Hamis Hamza Hamis ametoa miezi miwili kwa kiwanda cha kuzalisha vyandarua na Nguo cha A to Z kilichopo nje kidogo ya jiji la Arusha, kukamilisha ujenzi wa mtambo wa kuchakata maji taka kutoka kuwandani hapo ili kuepusha malalamiko ya wananchi. Akizungumza katika ziara aliyoifanya kiwandani hapo jana, mbele ya wataalamu wa mazingira kutoka Jiji la Arusha, Halmashauri ya Arusha na Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira NEMC. Naibu Waziri alisema kuwa ameridhishwa na hatua ya iliyofikiwa kwa mradi huo wa kuchakata maji taka…
Moses Mashalla, Zaidi ya wafanyabiashara 5,000 wanaofanya biashara katika soko la Samunge jijini Arusha wanataraji kupatiwa mitaji ya kuendesha biashara zao na mhubiri maarufu nchini Nabii Mkuu Dkt GeorDavie. Mbali na kupatiwa mitaji hiyo pia mhubiri huyo anataraji kutoa msaada wa kukarabati miundombinu ya malango ya kuingilia ndani ya soko hilo kama njia mojawapo ya kusaidia jamii. Akizungumza na waandishi wa habari mwenyekiti wa wafanyabiashara wa soko la Samunge,Joram Miraji amesema kuwa uongozi wa soko hilo hivi karibuni ulimwandikia barua ya maombi ya kuwasaidia mitaji wafanyabiashara ndani ya soko hilo pamoja na kusaidia kukarabati miundombinu ambapo ombi lao limekubaliwa. Miraji…
Karibu Arusha 24Tv leo September 21 Kupitia Magazeti ya Leoya Tanzania kilicho Andikwa Mbele na Nyuma Hii ni A24Tv .
Karibu Arusha 24Tv leo September 20 kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya leo ya Tanzania mbele na Nyuma hii nibA24Tv .
Na Emmanuel octavian Wakati kituo cha sheria na haki za binadamu kikiweka kambi kutoa msaada wa kisheria mkoani Njombe katika maadhimisho ya miaka 27 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1995 Jeshi la polisi limekiri kuwapo kwa migogoro mingi na mauaji yanayohitaji msaada wa kisheria toka LHRC. Katika ufunguzi wa utoaji wa huduma za msaada wa kisheria yanayofanyika kitaifa mkoani Njombe kupitia kituo hicho kwa muda wa siku 10 kaimu kamanda wa Polisi mkoa wa Njombe Butusyo Mwambelo anasema msaada wa kisheria unahitajika sana kutokana na matatizo lukuki yaliyopo katika jamii. Akizungumza kwa niaba ya mkurugenzi mtendaji wa kituo cha sheria na…