Author: Geofrey Stephen

Mwananchi wetu,Dodoma. Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Nchini Vijijini (Ruwasa) imeokoa zaidi ya Sh57.4 bilioni ambayo ilikuwa itumike kugharamia miradi ya maji vijijini. Fedha hizo zimeokolewa katika kipindi cha mwaka 2021/2022 katika miradi ya maji 86 ambayo ilikuwa itekelezwe kwa gharama ya Sh367.3 bilioni. Mkurungezi Mkuu wa Ruwasa, Clement Kivegalo amesema hayo leo Jumanne Julai 19,2022 wakati akielezea utekelezaji wa shughuli mbalimbali za taasisi na mwelekeo kwa mwaka wa fedha 2022/2023. “Hapo awali ujenzi wa miradi ya maji ulikuwa ukifanyika kwa gharama kubwa ukilinganishwa na uhalisia. Kwa kutambua hilo katika kipindi cha mwaka wa fedha 2021/2022 ilifanya majadiliano…

Read More

Na Geofrey Stephen Arusha Mzunguko wa Nne 4) wa Mashindano ya Magari ya Afrika unaofahamika kama Africa Rally Champion Ship Mwaka 2022 unatarajiwa kuanzia July 22 hadi 24 mwaka huu katika eneo la Monduli Mkoani Arusha ikiwa ni kwa mara ya kwanza kwa Mashindano hayo kufanyika Nje ya Mkoa wa Pwani. Klabu ya Mbio za magari Arusha kwa kushirikiana na chama kinachosimamia Mashindano ya mbio za magari Tanzania (AAT) kwa pamoja watafanya Mashindano hayo yanayofahamika kwa jina la Tanzania Atlantic Rally ambayo yanajumuisha na ligi ya ndani ya mbio za Magari mzunguko wa Tatu Mratibu alisema.Shindano hayo Satinder Birdi kando…

Read More

Na Geofrey Stephen Arusha . Uongozi wa Chuo Kikuu cha Arusha(UOA) umejipanga kukusanya jumla ya kiasi cha sh,50 milioni kila mwezi kupitia programu ya “Book Project” Kama njia mojawapo ya kujikwamua na changamoto ya kifedha. Mbali na programu hiyo pia kimeanzisha miradi mbalimbali ambayo ni ufugaji wa ng’ombe wa maziwa,kuoka mikate,kilimo cha mahindi,pilipili,maharage sanjari na duka kubwa la dawa za binadamu. Chuo Hicho ni miongoni mwa vyuo vinavyomilikiwa na kanisa la Waadventista Wasabato nchini ambapo hivi karibuni kilizuiwa na serikali kudahili wanafunzi kutokana na sababu mbalimbali kabla ya kuruhusiwa kudahili wanafunzi mwishoni mwa mwaka huu . Akizungumza na waandishi wa…

Read More

Na Mwandishi wa A24Tv. Mkuu wa Mkoa wa Arusha John Mongela ameionya Halmashauri ya Arusha DC kuacha utegenezi wa fedha kutoka serikali kuu na kujikita kuongeza mapato ya Halmashauri hiyo. Mongela Ameyasema hayo kwenye Kikao Maalum cha Baraza la Madiwani kujadili hoja za Mkaguzi Mkuu wa hesabu za serikali kilichofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri hiyo. Kwa mujibu wa Mkuu wa Mkoa Kwa miezi mitatu serikali kuu isipoleta fedha Halmashauri hiyo inaweza kufungwa tafsiri halisi ya CAG asilimia 87 inatoka serikali kuu ambapo Halmashauri hiyo uwezo wake ni asilimia 13 Alisema kwamba Halmashauri ijadili jinsi ya kujenga uwezo wa mapato yake…

Read More

Na Geofrey Stephen .ARUSHA Chama cha walimu Mkoa wa Arusha(CWT)kimeitaka serikali kuhakikisha  inaboresha maslahi bora ya walimu ikiwemo mazingira mazuri ya kufundishia na kulipa stahiki za walimu kwa wakati pindi wanapohamishwa vituo vya kazi. Akiongea na waandishi  wa habari katika kikao kazi cha wafanya maamuzi ngazi ya halmashauri na Mkoa,mwenyekiti  wa CWT mkoani hapa,Mwl.Lotta Laizer alisema kuwa pamoja na Rais Samia Sululu  Hasani kujitahidi kutatua baadhi ya changamoto ikiwemo nyongeza ya mshahara lakini bado hangamoto  ni kubwa. Laizer  alisema kuwa serikali kama mwajiri wa walimu nchini inawajibu wa kuhakikisha walimu wanapata stahiki zao sahihi kwa wakati jambo litakalo saidia kuongeza…

Read More

Na Geofrey Stephen ARUSHA Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) inatarajia kuzindua onesho la Sita la Swahili International Tourism Expo-S!TE 2022 litakalohudhuliwa na waoneshaji na wanunuzi wa kimataifa zaidi ya 550 kutoka katika masoko ya utalii duniani ikiwa ni mwendelezo wa programu ya Royal  Tour hapa nchini. Akiongea na waandishi wa habari Mkoani Arusha,waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt Pindi Chana alisema kuwa onesho hilo litafanyika katika ukumbi wa mlimani City jijini Dar es salaam,oktoba 21 hadi 23 mwaka huu. Alisema onesho hilo litakuwa mahususi kwa wafanyabiashara wa ndani na nje ya nchi kuonesha…

Read More