Author: Geofrey Stephen

Katibu Mkuu wa Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Prof. Godius Kahyarara amesema Serikali ya Awamu ya Sita imedhamiria kuiona Tanzania inakuwa lango la Uchumi wa Bara la Afrika kwa kuwa na Viwanda vikubwa ambavyo vitasaidia kupeleka Bidhaa kwenye Soko la Afrika kuongeza ajira na pato la Taifa. Prof. Kahyarara pia amewakaribisha Wawekezaji kuwekeza katika Sekta mbalimbali za kipaumbele nchini hususani Sekta ya Viwanda, Utalii, Nishati, uvuvi, usafirishaji ( Reli, Anga na Majini) na uchumi wa bluu. Prof. Kahyarara ameyasema hayo Julai 05, 2022 alipokuwa akifungua Kongamano la Wawekezaji, Wauzaji na Wanunuaji lililofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha…

Read More

Na Geofrey Stephen Arusha. Wito umetolewa kwa Benki ya NMB hapa nchini kuhakisha inatoa elimu ipasayo kwa watumishi wa sekta ya Elimu  Walimu kuhusiana na Mikopo wanayoimba isije kuwashushuia morali ya  kufanya majukumu yao ya kufundisha wakiwa na hofu ya Mikopo wanayoikopa wakiofia riba kubwa. Wito huo Umetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha John Mogella wakati akizindua huduma mpya ya Mikopo kwa walimu ‘ Mwalimu Spesho’ Katika Hotel ya Point Zone ya Jijini Arusha  ikiwa ni mikopo iliyoboreshwa kwa ajili ya Walimu pamoja na kuwa na Riba Ndogo Sambamba na kuwa na kipindi rafiki cha ulipaji wa mkopo huo.…

Read More

Na Joseph Ngilisho, ARUSHA Wanasayansi na watafiti wa panya kutoka nchi zaidi ya 50 duniani, wamekutana  Jijini Arusha, kujadili namna ya kuwatumia Panya katika udhibiti,kugundua mabomu na kugundua maambukizi ya ugonjwa wa tauni na uokozi wa majanga ya kidunia. Katika mkutano huo wa saba wa kimataifa wa baiolojia ya panya na udhibiti wa panya duniani, Tanzania imeishangaza dunia, baada ya kufanikiwa kugundua na kuwafundisha panya tisa wa uokozi, kutambua majeruhi na watu waliopoteza maisha katika ajali, hasa kwenye majengo. Mwenyekiti wa mkutano huo, ambaye ni Mtaalamu wa Utafiti wa Ikolojia ya Panya kutoka Kituo cha Umahiri cha Utafiti wa Panya…

Read More

Na Ahmed Mahmoud Waziri wa Mifugo na Uvuvi,Mashamba Ndaki ameeleza kwamba katika kipindi cha miezi sita Tanzania imeuza nyama tani elfu 10 katika nchi za Bara la Asia tofauti na miaka ya nyuma na huenda Mwaka huu ikauza zaidi ya miaka yote. Ndaki ameyasema hayo jijini Arusha wakati ya akifungua warsha ya siku saba ya wataalamu wa sekta ya mifugo kutoka nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika{SADC} unaolenga kujadili namna ya kuongeza thamani ya nyama nyekundu yanayotokana na ng’ombe wa asili. Amesema kuwa, ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan katika nchini za Bara la Asia hususani nchi…

Read More

Na Ahmed Mahmoud Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka ya udhibiti wa mkondo wa juu wa Petroli (PURA),Mhandisi Charles Sangweni amesema kuwa kupatikana kwa bodi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli hapa nchini(TPDC) kutasaidia mamlaka yao kuongeza majukumu ,udhibiti na wigo mpana katika usimamizi wa sekta hiyo. Pia amesema kwamba anaamini kupatikana kwa bodi ya TPDC kutasaidia kuongeza idadi ya mikataba na makampuni ya Utafiti wa mafuta nchini ambako kwa Sasa Kuna Jumla ya mikataba 11 na makampuni 8. Mhandisi Sangweni alitoa kauli hiyo Wakati akihojiwa na waandishi wa habàri mara baada ya Waziri wa nishati nchini, January Makamba kuzindua bodi ya…

Read More

Geofrey Stephen .Arusha Naibu Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia,Omari Kipanga amesema kuwa serikali imeondoa vikwazo vya kimfumo na kimuundo kwaajili ya watu wenye mahitaji maalum nchini Kipanga aliyasema hayo leo Jijini Arusha wakati wa uzinduzi wa Shule ya Kimataifa Jumuishi ya Mfano ya Sekondari Patandi. Alisema serikali imeondoa vikwazo hivyo ili kuwezesha utoaji wa elimu jumuishi kuanzia ngazi zote hadi vyuo vikuu ikiwemo kutambua mfumo wa elimu jumuishi kunawafunzi bado hawajapata elimu hiyo kwa shule maalum. Waziri kipanga akizungumza na wananchi waliojitokeza katika afla ya uzinduzi huo wa shule ya kimataifa jumuishi  Alisema serikali ya awamu ya sita iwezesha ujenzi…

Read More

Waziri wa Nishati January Makamba amesema uendeshaji umahiri na umadhubuti wa uongozi wa shirika la TPDC, ni Jambo ambalo serikali unalipa uzito wa hali ya juu. Makamba Ameyasema hayo wakati akizindua bodi ya wakarugenzi wa shirika hilo jijini Arusha na kueleza kwamba uteuzi wa bodi hiyo unaakisi dira na Malengo mapya ya serikali kwa shirika hilo kuelekea katika mafuta na gezi. Amesema bodi hiyo chini ya mwenyekiti wake balozi Ombeni Sefue inakidhi nafasi ya TPDC katika maendeleo ya nchi, Dira na mwelekeo mpya wa TPDC katika uchumi mpya wa Gesi na maendeleo ya mafuta nchini kwa ujumla. “Dhamira yetu ni…

Read More