Author: Geofrey Stephen

Na Geofrey Stephen Arusha. Waziri wa maji Juma Aweso amezitaka bodi za wakurugenzi wa Maji hapa nchini kuhakikisha  wanafanya juhudi kubwa za kuzipatia jamii za kitanzania maji karibu na mahali wanapoishi ili kuweza ili kuweza kutimiza adhima kuu ya serekali kutoa huduma ya maji kwa asilimia 95 hapa nchini. Rai hiyo ameitoa leo hii Jijini Arusha wakati waziri wa maji  akifungua Mafunzo ya Siku Tatu ya kujengea uwezo wajumbe wa bodi na Menejiment  za Mamlaka  maji safi na Usafi wa mazingira zipatazo 25 yaliyofanyika jijini hapa ambapo lengo kuu lilikuwa kuwapa ujuzi juu ya usimamizi wa Mamlaka zao za Maji…

Read More

Na Mwandishi wa,A24tv .Arusha WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, julai 3 mwaka huu anatarajiwa kuziongoza taasisi kadhaa zinazohusiana na Kiswahili Nchini, katika uzinduzi wa kitabu cha ziada cha Riwaya ya Kwaheri katika tukio linalotarajiwa kufanyika Jijini Dar es Salaam katika Ukumbi wa NSSF Mafao House ulipo Ilala Boma. Katika siku hiyo ya Uzinduzi ni siku maalumu ya Mjue Mtunzi iliyoandaliwa na Umoja wa Waandishi wa Riwaya wenye Dira (UWARIDI) ikishirikiana na Mdhamini Mkuu Elite Bookstore. Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Arusha jana ,Mwandishi wa Kitabu cha Kwaheri,Hassan Ally Hassan alisema mbali ya Waziri Mkenda,taasisi zinazohusiana…

Read More

LMoses Mashalla,Arusha. Waziri mkuu mstaafu nchini,Mizengo Pinda amefungua mkutano wa mawakili wa umoja wa Pan African (PALU) huku akisema kuwa suala la rushwa,ugaidi na utawala bora bado ni changamoto barani Afrika na kuutaka umoja huo kuhakikisha wanakemea vikali changamoto hizo. Pinda,alitoa kauli hiyo jana katika mkutano huo unaowakutanisha mawakili mbalimbali barani Afrika huku akisema kuwa changamoto ya vita vya mara kwa mara katika baadhi ya nchi barani Afrika zimesababisha matatatizo ya kiuchumi na kupelekea bara la Afrika kuendelea kuwa maskini. Waziri mkuu huyo mstaafu aliwataka washiriki katika mkutano huo kuhakikisha wanazingatia ajenda ya umoja wa Afrika ya 2063 kwa kuhakikisha…

Read More

Na Geofrey Stephen .Arusha Kutokana na kukithiri kwa vitendo vya ukatii katika maeneo mbalimbali nchini,Serikali imezindua miongozo kitaifa wa uundaji na uendeshaji  wa mabaraza ya watoto Tanzania pamoja na madawati ya ulinzi na usalama wa mtoto ndani na nje ya shule. Akizungumza katika mkutano mkuu wa sita wa wadau wa elimu  kutoka nchi tatu za jumuiya ya afrika Mashariki,Kamishna wa ustawi wa jamii wa wizara ya maendeleo ya jamii,jinsia wanawake na makundi maalum,DK Nandera Muhando amesema miongozo hiyo ni moja ya mikakati ya kusaidia kupunguza ukatili kwa watoto. “Miongozo hii ni muhimu katika kuweza kutusaidia kuwafikia hao watoto lakini pia…

Read More

Mwenge wazindua Makao makuu ya Enduimet WMA na Kituo Cha kutoa taarifa kwa watalii. Mwandishi wetu, Longido Mwenge wa Uhuru ,umezindua mradi wa majengo ya Makao Makuu ya Jumuiya hifadhi ya Wanyamapori ya Enduimet wilayani Longido ambao umegharimu kiasi cha sh 651.7 milioni. Mradi huo ambao sasa utawezesha Enduimet WMA kuwa na Kituo cha taarifa za watalii umejengwa na Taasisi ya jumuiko la Maliasili Tanzania (TNRF) Kwa ufadhili wa shirika la uhifadhi la kimataifa(WWF-TCO). Kiongozi wa mbio za mwenge Sahili Geraruma alipongeza TNRF na Enduimet WMA mwa kutelekeza mradi huo ambao unakwenda sambamba na jitihada za Serikali kukuza Utalii nchini.…

Read More

ATC na RUWASA zasaini Mkata. Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) wakishirikiana na Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) wamesaini Mkataba wa makubaliano wa utengenezaji wa Dira za Maji za Malipo ya kabla ya matumizi (pre-paid). Mkataba ambao ulishuhudiwa na Waziri wa Maji Mhe. Juma Waweso na Naibu Waziri wa Elimu, sayansi na Teknolojia, Mhe. Omary Juma Kipanga.Akizungumza wakati wa kusaini Mkataba huo, Waziri wa Maji, Mhe. Juma Aweso amesema kuwa, uwepo wa Wizara ya Elimu, sayansi na Teknolojia kupitia ATC umekuwa Msaada mkubwa kwa Taasisi zetu hapa nchini.“Leo hii tungewaza kuagiza Dira za maji kutoka nje ya…

Read More